Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasema Uongo Ndugu Zangu?Ajenda zishajulikana jana,hao ni kujani full stop.
Hahahaa! Ile tarifa usiiamini mkuu!!
Ile ni tarifa na video hiyo ni ya 2019 inauhusiano gani na leo?
Hata akibaki mmoja hakuna shida ikiwa tu ni mpiganaji wa kweli. Mbona suala la kufukuzwa lipo kwa kila chama. Labda nitajie chama maarufu hapa Tanzania ambacho hakijawahi kufukuza wanachama ndani ya chamaHasira zenu mnaapomwona mtu akihusiana na CCM ama kusikia Tu ana mahusiano na mtu wa CCM mnamtimua, Chama kitabaki kimekonda Hadi watu mliomo ndani!!
Fuatilieni Kwa kuthibitisha Kwanza hayo mahusiano yalisababishwa na Nani?
Ile saini ndio utata wenyewe hata kama si ya kweli, tunataka Democrasia iwe Pana zaidi mkuu, hata kwenye mambo ya uzushi, utafutwe ukweli Kwanza ndio hukumu ifuateOOOh please!!!! ukweli upi? kwamba hawakuapishwa? Wenye makosa ni hao kina Mdee na wenzie walioenda kuapishwa bila mwenyekiti wao wala katibu wala wanachama kujua, huo ni first class usaliti, hamuwezi kuwa na watu wenye misimamo miwili ndani ya kundi lenye msimamo mmoja, ni lazima wachague msimamo mmoja kati ya miwili waliyonayo, kina mdee wamechagua kwenda kushiriki bunge ambalo wenzio wameweka msimamo kuwa ni bunge haramu kutokana na jinsi walivyopatikana wabunge na Rais kwenye uchaguzi uliopita, so don't be ridiculous.
Chadema wanawaita Covid 19. Wao wanajiita Covid 20? Maana walituletea kimeo kinaitwa Amsterdam, aje kuuza nchi yetuMkutano wa Halima Mdee na Wenzake 18
Kwani hawakuitwa? Akili zinatumiwa na CCM na vyeti vyenu mmeweka ndani mnakuwa kama mapoyoyo na toilet paper'sChadema walifanya makosa makubwa Sana kuwafukuza wabunge wao bila ya kubaini ukweli wa Jambo lenyewe
Kaka Mbowe aliharibu sanaLeo ni kumwaga uozo wote wa dictator mbowe
Hii ndo kazi ambayo mwenyekiti wangu mbowe anaiwezaView attachment 1638984
Swala la demokrasia ni la muhimu zaidi kuliko kurupu kakara zenuHata akibaki mmoja Hakuna shida ikiwa tu Ni mpiganaji wa kweli. Mbona suala la kufukizwa lipo kwa kila chama. Labda nitajie chama maarufu hapa Tanzania ambacho hakijawahi kufukuza wanachama ndani ya chama
Si waliitwa, na wakakataa kwenda.. Acha wale jeuri yaoChadema walifanya makosa makubwa Sana kuwafukuza wabunge wao bila ya kubaini ukweli wa Jambo lenyewe
Kwahiyo na wewe unaamini kuwa majina yalipelekwa na CHADEMA? Nikuulize yule aliyekuwa gerezani kwa siku 133, akaachiwa usiku saa moja, asubuhi akaapishwa kuwa mbunge, Je, hao CHADEMA walijuaje kuwa atakuwa huru mpaka watume jina lake Tume?Hivi inawezekana kwa mtu mzima mwenye akili zake timamu mwanachama kindakindaki akashawishiwa kirahisirahisi hivyo.wewe unaweza kushawishiwa kwa namna hiyo
Iacheni demokrasia ichukue mkondo wake mkuuKwan hawakuitwa?akili zinatumiwa na ccm na vyeti vyenu mmeweka ndani mnakuwa kama ma poyoyo na toilet paper's
Hata Luku yangu siwezi kupoteza kuangalia utupoloWapo Live ITV sasa hivi.
Halima anaongea
Hela yako ni ya kulenga na manati.Hata Luku yangu siwezi kupoteza kuangalia utupolo