Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Nani kakwambia hawa ni wanachama wa CCM hadi unataka wavue khaki.Wavue magwanda wave sare za kijani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakwambia hawa ni wanachama wa CCM hadi unataka wavue khaki.Wavue magwanda wave sare za kijani.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hao wahuni wa ndugai wanavaa nguo za chadema wakati wameshatimuliwa
Mbowe njoo ukamate hizi pimbi zikabidhi hadi nguo
Halafu Mbowe na TUNDU hawawezi tena kuzikata pesa zao kama walivyofanya 2020 kurudi nyuma. Jumulisha hawana majimbo. Yaani hawa wamama wamecheza kama Pele plus Maradona na Messi kabisa. Wanatoka na pesa ya kufa mtuChezea pesa siyo ajira!
Miaka 5 mbunge, na kuinua mgongo cha kustaafu kinono!
Nyie endeleeni kura vumbi hapo ufipa
OOOh please!!!! Ukweli upi? Kwamba hawakuapishwa? Wenye makosa ni hao kina Mdee na wenzie walioenda kuapishwa bila mwenyekiti wao wala katibu wala wanachama kujua, huo ni first class usaliti, hamuwezi kuwa na watu wenye misimamo miwili ndani ya kundi lenye msimamo mmoja, ni lazima wachague msimamo mmoja kati ya miwili waliyonayo, kina mdee wamechagua kwenda kushiriki bunge ambalo wenzio wameweka msimamo kuwa ni bunge haramu kutokana na jinsi walivyopatikana wabunge na Rais kwenye uchaguzi uliopita, so don't be ridiculous.Chadema walifanya makosa makubwa Sana kuwafukuza wabunge wao bila ya kubaini ukweli wa Jambo lenyewe
Bado yuko na Esther!Mzee Mdee ameshaanza kuongea?
Muwe mnaandika kwa kutumia kichwa!! Wabunge wa CHADEMA, maamuzi ya CHADEMA. Inatuhusu nini wengineChadema walifanya makosa makubwa Sana kuwafukuza wabunge wao bila ya kubaini ukweli wa Jambo lenyewe
Mbowe, Mnyika na Tundu wakumbuke yote mabaya waliyowahi fanya pamoja na hawa wanawake na wasisahau kwamba wanawake wakichoka hawanaga kifua😂Lissu na mbowe kule waliko wanajinyea sasa hivi,madaktari wao wawe karibu,presha lazima ziwe juu
CHADEMA hawakuomba. Hawa ni wabunge wameomba na ni haki yao kuwafikia wananchi. Ikiwa kweli wapo live ni vizuri ili wananchi tujue ukweliNaona tbc nao leo watakuwa live 🤔🤔 mbona ile ya kamati kuu ya chama hawakutangaza
Wabunge wasio na Chama?Nyie wafukuzeni kwenye chama ila sisi tukaendelea kuwatambua kama wabunge.
Mnaviimarishaje wakati mmevifungia visifanye siasa? Matokeo yake mnawaumiza wananchi. EU wameadhimia raia wao wasije kutalii Tanzania, msifanye nao biashara, na wamekata misaada, kisa, wendawazimu wenu na ushamba wenu wa kisiasaTunataka Vyama pinzani imara mkuu
Pesa yenye dhalilisho ndani yake. Baada ya miaka mitano status yao ya kisiasa itakuaje?Halafu Mbowe na TUNDU hawawezi tena kuzikata pesa zao kama walivyofanya 2020 kurudi nyuma. Jumulisha hawana majimbo. Yaani hawa wamama wamecheza kama Pele plus Maradona na Messi kabisa. Wanatoka na pesa ya kufa mtu
Mkuu hivi mbunge anatokana na Chama au Tume? Pia CHADEMA hawajawafukuza ubunge kumbukaChadema hawakuomba. Hawa ni wabunge wameomba na ni haki yao kuwafikia wananchi. Ikiwa kweli wapo live ni vizuri ili wananchi tujue ukweli
Si waliitwa na wakakataa kwenda.. Acha wale jeuri yaoChadema walifanya makosa makubwa Sana kuwafukuza wabunge wao bila ya kubaini ukweli wa Jambo lenyewe
Wabunge wasio na Chama?
Kweli Magufuli kudanganya ni kitu rahisi sana...yaani alidanganywa kua lazma majimbo yote yawe yetu huku akisahau kua kuna PAC na LAC
Chama hakijawateua kuwa wabunge, hakiwezi kuwapira status ambayo hakijawapaMkuu hivi mbunge anatokana na Chama au Tume? Pia CHADEMA hawajawafukuza ubunge kumbuka
Hahahaa! Ile tarifa usiiamini mkuu!!Mnaviimarishaje wakati mmevifungia visifanye siasa? Matokeo yake mnawaumuza wananchi. EU wameadhimia raia wao wasije kutalii Tz, msifanye nao biashara, na wamekata misaada, kisa, wendawazimu wenu na ushamba wenu wa kisiasa
Ndiyo Ukweli Wenyewe. 😁😂Mkutano wa Halima Mdee na Wenzake 18