Halima Mdee: Mimi pamoja na timu yangu (Wabunge 19) tutabaki kuwa WanaCHADEMA kindakindaki. Tutaenda kuyajenga ndani kwetu

Halima Mdee: Mimi pamoja na timu yangu (Wabunge 19) tutabaki kuwa WanaCHADEMA kindakindaki. Tutaenda kuyajenga ndani kwetu

Chezea pesa siyo ajira!
Miaka 5 mbunge, na kuinua mgongo cha kustaafu kinono!
Nyie endeleeni kura vumbi hapo ufipa
Halafu Mbowe na TUNDU hawawezi tena kuzikata pesa zao kama walivyofanya 2020 kurudi nyuma. Jumulisha hawana majimbo. Yaani hawa wamama wamecheza kama Pele plus Maradona na Messi kabisa. Wanatoka na pesa ya kufa mtu
 
Chadema walifanya makosa makubwa Sana kuwafukuza wabunge wao bila ya kubaini ukweli wa Jambo lenyewe
OOOh please!!!! Ukweli upi? Kwamba hawakuapishwa? Wenye makosa ni hao kina Mdee na wenzie walioenda kuapishwa bila mwenyekiti wao wala katibu wala wanachama kujua, huo ni first class usaliti, hamuwezi kuwa na watu wenye misimamo miwili ndani ya kundi lenye msimamo mmoja, ni lazima wachague msimamo mmoja kati ya miwili waliyonayo, kina mdee wamechagua kwenda kushiriki bunge ambalo wenzio wameweka msimamo kuwa ni bunge haramu kutokana na jinsi walivyopatikana wabunge na Rais kwenye uchaguzi uliopita, so don't be ridiculous.
 
Naona tbc nao leo watakuwa live 🤔🤔 mbona ile ya kamati kuu ya chama hawakutangaza
CHADEMA hawakuomba. Hawa ni wabunge wameomba na ni haki yao kuwafikia wananchi. Ikiwa kweli wapo live ni vizuri ili wananchi tujue ukweli
 
Halafu Mbowe na TUNDU hawawezi tena kuzikata pesa zao kama walivyofanya 2020 kurudi nyuma. Jumulisha hawana majimbo. Yaani hawa wamama wamecheza kama Pele plus Maradona na Messi kabisa. Wanatoka na pesa ya kufa mtu
Pesa yenye dhalilisho ndani yake. Baada ya miaka mitano status yao ya kisiasa itakuaje?
 
Chadema hawakuomba. Hawa ni wabunge wameomba na ni haki yao kuwafikia wananchi. Ikiwa kweli wapo live ni vizuri ili wananchi tujue ukweli
Mkuu hivi mbunge anatokana na Chama au Tume? Pia CHADEMA hawajawafukuza ubunge kumbuka
 
Wabunge wasio na Chama?
Kweli Magufuli kudanganya ni kitu rahisi sana...yaani alidanganywa kua lazma majimbo yote yawe yetu huku akisahau kua kuna PAC na LAC

Kusikia kwa kenge mkuu...!

Chama chao ni CDM, tunawatuma waende mahakamani, na huko tunaagiza mahakama isitambue hilo swala.

Mdogo mdogo mpaka 2025 kesi itakuwa haijaisha.
 
Mnaviimarishaje wakati mmevifungia visifanye siasa? Matokeo yake mnawaumuza wananchi. EU wameadhimia raia wao wasije kutalii Tz, msifanye nao biashara, na wamekata misaada, kisa, wendawazimu wenu na ushamba wenu wa kisiasa
Hahahaa! Ile tarifa usiiamini mkuu!!

Ile ni tarifa na video hiyo ni ya 2019 inauhusiano gani na leo?
 
Tujikumbushe kidogo kutoka maktaba
IMG_20201103_143403.jpg
IMG_20201029_144812.jpg
 
Back
Top Bottom