lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Halima na wenzake wasipoteze muda kutaka kwenda Mahakamani,kwani wanatuhumiwa kughushi sahihi za Viongozi wa chadema
Hata kama hawakughushi wao,aliewasaidia kughushi yupo.
Kwa hiyo kama wakitaka kwenda Mahakamani Mimi Sina wasiwasi kabisa. Nina Imani na kikosi Cha Askari maaalum kabisa cha wanasheria makini kabisa hapa Africa kinachopatika hapa Tanzania, kikiongozwa na Peter Kibatala.
Nakuhakikishieni walijaribu kuanzisha kesi hii,tutaona Tena nyeti za kuku. Kesi hii itafikaa mpaka Chat.O. kwa jinsi Kibatala alivyo mtata.
Naamini Ndugai ataletwa Mahakamani na Mahera ataletwa pia.
Safari hii hakutakua na PGO Tena, Bali katiba ndio itakua reference.
Hivyo tutarajie kumuona Mahera akiomba kwenda kukojoa na ndugai pia.
Nina Imani na Kibatala na nduguze.
Nimewamiss sana.