Halima Mdee na Wenzake 18 nawaonya wasijaribu kwenda Mahakamani, "Kibatala na wenzake" bado wapo

Mama Samia hawezi kukubali huo UJINGA - game Over !!

Tanzania ina mambo mengi ya kufanya zaidi ya hayo; cha msingi nawashauri wote 19 waende Chato wakahiji kisha wapitie Kongwa wamsaidie spika wao mradi wake wa mifugo na kilimo cha Korosho.
Ha ha haa.
Kwa hiyo unataka kusema "imekula kwao".
 
Hoja Yako Ina nguvu sana aisee,
Ila sema ulichokoaea TU ,ni kunitaja kuwa sijatumia akili.
Ukweli wanaweza kwenda Mahakamani kwa ushauri wa ma ccm ili ku buy time.
Ma ccm Huwa hayana uchungu na Kodi zetu.
 
yes, nafikiri wakienda mahakamani litakuwa jambo jema, kila kitu kitakuwa wazi - hata yule aliyetolewa usiku wa manane gelezani Singida kwenda kuapa Dodoma kesho yake itakuwa wazi kwa mamlaka ya nani.
Nakuambia nyeti zitaonekana.
We waache TU wakipeleka ili tuanze Tena kifurahia Mkuu wa gereza akiomba kwenda kukojoa kama Kingai.
 
Achananeni nao si mmeshawafukuza
 
Kaka hujui huenda Mahakamani Ndio Kete ya Mbowe sasa!!! Alishakubaliana na Mkubwa na ili asionekane amesaliti Chama inabidi hao Muwaitao Covid waende mahakamani na kesi itasubiri hadi miaka ileee!!!!!
 
Hakuna KESI HAPO. Alijaribu zittow kwenda mahakamani ikashindikana. Chama kikikufukuza Uanachama huwezi toboa mahakamani, hata Kwa masuala ya mpira ni hivyo hivyo, rufaa Huwa haziendi mahakamani, zinamalzwa ndani ya chama.
Hawatoboi kabisaa,ila kupoteza muda TU.
 
Wawnde mahakamani wakadai haki Yao ya msingi .. naamini huko mahakama itatenda haki .. naiona Chadema ikifa kifo Cha mende
 
Daah hadi kibatala mmeanza kumuabudu
 
Hahahaha mtu pekee ambae anaweza kuwatupa covid ni serikali,

Kama ilihusika kuwaingiza means itawalinda ndani ya Bunge au nje ya Bunge

Leo watu wamekodi ndege kupeleka barua Dodoma hahaa Yan get likifunguliwa Tu barua inaingia
Jiwe ndio alowalinda ,
Samia hataki tabia za Jiwe,za uhuniuhuni katika siasa.
 
Mwakagenda kawatia aibu sana Wanyakyusa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…