Halima Mdee na Wenzake 18 nawaonya wasijaribu kwenda Mahakamani, "Kibatala na wenzake" bado wapo

Jiwe ndio alowalinda ,
Samia hataki tabia za Jiwe,za uhuniuhuni katika siasa.

Makamu wa jiwe ni Samia na makamu wa ndugai ni tulia means wote wanajua kila kitu

Bunge kupokea wabunge wapya means tume ya uchaguzi yote ipigwe chini

Yan kuna taasisi nyingi na watu wengi watatakiwa kuacha office zao

Hili jambo sio easy kama ambavyo wengi mnadhania
 
Naona kama vile unawatisha akina Halima Mdee na wenzake! Pia ni kama vile unajaribu kumuwekea UZIO Mwenyekiti Gaidi na wenzake on this issue kwani kila mtu anajua, hata wewe unajua, kuwa pesa imetembea in this issue na mhusika aliyechukua hayo mapesa na anaendelea kuchukua hayo mapesa ya hao 18 anajulikana. Acha mkwara waache watafute haki zao popote pale.
 
Ndugu, kuwepo kwa mtu fulani kama Waziri, jaji, wakili au vinginevyo hakumzuii mtu mwengine kukata rufaa au kufungua madai ya haki Mahakamani. Kutuambia Kibatala yupo ni kwamba unawatisha kina mdee? Au unaogopa wakienda kuna haki watapata ambayo itakuwa pigo kwako?
Mfano CDM wamegundulika na CAG kuna manunuzi yamefanyika bila kufuata sheria na kanuni. Kibatala hakuwepo kuwashauri? Huyu jamaa amewashika anawapiga pesa nyingi baada ya kuwaaminisha kwamba yeye ni wakili wa dunia! Wacha na yeye ajipatie kaugali kake.
 
Tunapopigania haki maana yake ni kutoa uhuru kwa kila raia kuamua anachokiamini kwa kufuata sheria.Kutishana ni kusigina haki ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…