Halima Mdee na wenzake 18 wagoma kufika Kamati Kuu ya chama kwa madai ya kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

KILA la kheri na ma ibada yenu huko Chato sijui Gamboshi
 
Hapo ndo utajua kwamba Chadema walishindwa uchaguzi kwa haki baada ya Watanzania kuwakataa kwenye sanduku la kura
 
Ulilazimishwa kuchanga? Au ndo haukuwa unatoa msaada, Ila ulikuwa unanunua uaminifu wao? Kama Ilikuwa ni kununua uaminifu wao, basi amepatikana mwenye dau kubwa😂
Mkuu warudishe tu,mazalau hayavumiliki, mdee ,bulaya mkifukuzwa leo ,kufika next week kila mmoja arudishe fain uliolipiwa kutoka kwa wanachama na wasio wanachama, kwenye account ya CHADEMA, tuliwachangia kwa kupigania haki ,na matatizo yenu yalitugusa mmoja kwa moja, kupitia mlengo wa haki Sasa mmetuona matahila,wajinga, rudisheni iyo pesa vinginevyo sie wapenda haki,tutakutana na wanasheria Kama wataridhia tutawaburuza mahakamani ,mpaka mziteme hizo fedha maana mmekiuka mkataba wa ufadhili huu, Kama mbwai mbwai
 
Ah nlitaka kuingia kwenye ule uzi wa warembo wakali kmbe nmeingia hku ngoja nirudi kule

Ova
 
Halima Mdee?

Ester Wawili?

Kweli?
Mkuu 'Erythro' mbona hii habari haieleweki?
 
Hakuna mjadala, wametokea hawajatokea, wamejitetea, hawajajitetea, jibu ni moja pekee ili heshima ya Chama ibaki Ni kufukuza tu.

Acha wawe wabunge wa Ndugai, Nec, Magufuli na wabunge hewa ila sio wa CHADEMA.

IMEISHA HIYO.
 
Fukuza tu hao wasaliti wakaungane na vibaraka wengine wa Jiwe.
Mkiambiwa mtoke mkaandamane tu kuonesha kudai haki kwa vitendo hamtoki mnaendelea kujificha tu humu JF halafu leo watu ambao wameshapigwa na kulala jela kwa kudai haki unawaita wasaliti bila aibu.
 
Ni hivi, acha kuwa wachache, hata wakiwa wawili, hilo kundi la wanawake wahuni linapigwa chini, na cdm wakisita kuchukua hatua, ndio wajue support yetu inakata hivyo.
Sidhani kama mnaweza kukata hiyo sapoti japo ya mitandaoni tu,walibadili gear angani kitu ambacho hamkudhani kama wangethubutu hata kufikiria hivyo ila mwishoni mkaishia kupiga deki.
 
kuwa mfuasi wa chadema kunahitaji sana moyo
Kuna mke wa Salum Mwalimu,kuna Mke wa Kigaila,kuna Mke wa John Mrema katika hao wabunge 19,na hao makamanda ni vibaraka wakubwa sana wa Mbowe,in maana nyumbu hawajui kwamba hapo hafukuzwi mtu?
 
Mbona unateseka hivo bwashee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…