ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
KILA la kheri na ma ibada yenu huko Chato sijui GamboshiMimi nimewapa angalizo la bakora za karmaMakamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu
Wanabodi, Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi tuu humu jukwaani kuwa karma ndio the power pekee ambayo hutoa hukumu ya haki hapa duniani, kwenye karma, mtu unaadhibiwa au kuhukumiwa kwa mawazo, maneno na matendo yako, karma haina mswalie Mtume, wala...www.jamiiforums.com
P