Halima Mdee na wenzake 18 wagoma kufika Kamati Kuu ya chama kwa madai ya kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

Rist au code za muamala unazo? Maana Sasa mahakama itaaminije kuwa ulichangia bila kuwa na vidhibitisho?
Sasa mkuu ,wadau na wapenda haki walichangia pitia account za Chama, na chama zipo control number zilizotumika kuwalipia bahada ya michango yetu ya sh mia,mia mbili n.k, that's nimesema Kama wapenda haki, lazima kukaa na wanasheria, wenye fani hii ,wakiridhia kwa gharama zetu, sie tutawaburuza mahakamani ,warudishe hiyo pesa kwenye account ya chama,maana wamevunja mkataba na sisi
So Kama hu mwanasheria ushauri wako kwa sie tupendao haki mawazo yako ,ushauri,hata kukulipa kusimamia kesi hii ,sio tatizo mda ukifika,
 
Kamati kuu CHADEMA acheni ukilaza. Mlishiriki uchaguzi mkuu mkijua kabisa hautakuwa wa huru na haki. Refer:Uchaguzi serikali za mitaa. Sasa mlishiriki hizo kura mlizopewa mmepata nafasi 19.Waacheni wabunge wakachape kazi bungeni.
Kwa mtindo huo si kila mtu atajipeleka kuapa ?. Vikao viheshimiwe
 
Kamati kuu, kamati hovyo tu! Walishirikije uchaguzi wa wabunge na rais wakati walishaelewa chaguzi za mitaa walipokwa? Nao ni tamaa tu!
 
Mwenyekiti Mbowe alipaswa ajiuzulu mapema kabisa ili kulinda heshima ya chama lkn mpaka sasa yupo ktk nafasi hii kwakweli hutumuelewi kabisaa!
yeye ndiye chanzo cha haya yote
Alafu amwachie nani Chama chake?
 
Tafuta popote nilipowahi kukubali ujio wa Lowassa ndani ya cdm. Ukipapata uje na mrejesho. Tazama baada ya Lowassa kuletwa, kama uchaguzi huu viongozi wachache ndio waliamua nani awe kiongozi.
Sasa wewe utakuwa na tofauti gani na wakina mdee kwa sababu leo hii mnawapigia kelele mdee na wenzake kwa kukiuka maamuzi ya vikao ya kutotambua matokeo ya uchaguzi wakati huohuo wewe unasahau kitendo Cha kupinga au kutokubali ujio wa wakina Lowasa wakati walipokelewa kwa maamuzi ya vikao haouni Kama wewe nawe ni walewale huna tofauti na walichokifanya wakina mdee
 

Bulaya mtoe kwenye hiyo list, maana alimfuata Mdee na sio chama. Labda Mdee ndio tumjadili. Ili waseme ni kwanini wamechukua hayo maamuzi, ndio hao wameitwa kwenye kikao wanyooshe maelezo lakini wamegoma.
 
Hakuna mjumbe wa kamati kuu aliyeenda kikao siku ya leo.
Tuqche mbwembe.
Labda kama Mnyikankqfanya kikao peke yake
unakunyea mdomo naona maana mdomo wa kawaida hauwezi sema haya
 
Kamati kuu, kamati hovyo tu! Walishirikije uchaguzi wa wabunge na rais wakati walishaelewa chaguzi za mitaa walipokwa? Nao ni tamaa tu!
Kamati ya kihunihuni wamechaguana kihunihuni mijadala na maamuzi yao kwa vyovyote vile yanakuwa ya kihunihuni.Zero plus zero Ni zero
 
TANURU la Moto ndio hili, UPINZANI utabaki Imara , COVID-19 watabaki wabunge wa Mahakama.

Kilangi na DPP waabaki kuwa wanasheria wa hovyo kuwahi tokea Tanzania
 
Bali ukweli unapovikwa nguo ya malalamiko ili kuufunika. Ni hivi, jitahidi kutenganisha ukweli na malalamiko.
Jambo ambalo litakuwa na uthibitisho hilo ndio ambalo wote kwa pamoja tutaita ukweli ila kinyume na hivyo litakuwa ukweli kwa upande wako na wengine wataona malalamiko tu.
 
Tafuta popote nilipowahi kukubali ujio wa Lowassa ndani ya cdm. Ukipapata uje na mrejesho. Tazama baada ya Lowassa kuletwa, kama uchaguzi huu viongozi wachache ndio waliamua nani awe kiongozi.
Hoja ni kwamba pamoja na kuletewa Lowassa hamkuacha kusapoti Cdm,kwa hiyo hata huna sababu ya kutia mikwara ya kuacha kusapoti chadema kama hao unaoita wasaliti wakiachiwa tu.
 
Ukiona panya anacheza shere kwa paka, basi tambua yuko karibu na shimo lake.
 
Ndio umetumwa kuja kutapika hapa?

Mbowe ataondoka akichoka mwenyewe, waambie na wenzako.
mbowe aseme ukweli asitake kuremba maneno kwa aiji ya kuutetea uenyekiti wake. la sivyo ajibu maneno/tuhuma aliyo yatamka mdee mara baada ya kula kiapo, mdee sio mjinga amsingizie Mbowe.
yaani kweli watu wote tunaonekana hatuwezi kufikiria kisa kumlinda mtu mmoja?! kwani huwezi kuachia nafasi kwa heshima tu kuliko kuumbuka ?!
mambo yamevurugika na wewe ndio kiongozi step down kwa heshima pisha wengine warudishe heshima ya chama na imani ya wanachama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…