4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Sasa mkuu ,wadau na wapenda haki walichangia pitia account za Chama, na chama zipo control number zilizotumika kuwalipia bahada ya michango yetu ya sh mia,mia mbili n.k, that's nimesema Kama wapenda haki, lazima kukaa na wanasheria, wenye fani hii ,wakiridhia kwa gharama zetu, sie tutawaburuza mahakamani ,warudishe hiyo pesa kwenye account ya chama,maana wamevunja mkataba na sisiRist au code za muamala unazo? Maana Sasa mahakama itaaminije kuwa ulichangia bila kuwa na vidhibitisho?
So Kama hu mwanasheria ushauri wako kwa sie tupendao haki mawazo yako ,ushauri,hata kukulipa kusimamia kesi hii ,sio tatizo mda ukifika,