Halima Mdee na wenzake 18 wagoma kufika Kamati Kuu ya chama kwa madai ya kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

Waliandika barua, kuomba kuongezewa muda kwa sababu kulikuwa na matishio ya usalama wao kutoka kwenye magroup ya watsap ambao watu walikuwa wanahamasishana kwenda kuwafanyia vurugu.

But kamati kuu wamekataa na wakachange venue to bahari Beach.

So hakuna ishu yoyote ya dola ila tu kujitambua kwao.
 

Hapo kazi imekuwa nyepesi, piga chini wote, anayetaka ataka rufaa. Ifahamike hawana lolote la kujitetea ndio maana hawatokei.
 
Pascal Mayalla ni mtetezi wa hii mianamke isiyokuwa na nidhamu
Brother uzalendo uliondoka enzi za kina nkuruma nyerere n.k

Hata ingekuwa wewe ni kuunyaka usawa wa mapene ili familia yako iende chooni kwa sababu ya shibe. Nani asiye taka maisha mazuri?

Nani ampiganie mtanzania ambaye anaambiwa atoke akaandamane kupinga matokeo ila yeye anaamkia youtube kutizama video za kina davido?
 
 
Kwan awakusema kitakua live au

Au wanahairisha wafanyee kidigitali๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
DJ kajificha Nairobi na Lema Beberu Mrs Amsterdam yupo brussels,Ben Kigaila Yupo India

Kamati kuu ipi sasa๐Ÿ˜€?

Isijekuwa matapeli.
Hapo Sasa kamati kuu ielekeze kibra na bila kunuiza fukuza wote kuanzia Sasa hivi, wajumbe wa kamati kuu wasikubali kaondoka tupu.
 

Hakuna kumsogezea muhuni yoyote muda, piga chini, siku wakiona usalama wao umerudi watakwenda kujitetea fullstop.
 
Mkuu Return Of Undertaker lini utaachana na unafiki wa kuamini kuwa migogoro ndani ya CHADEMA ina mkono wa Serikali?

Naamini wewe ni mtu mzima unajua Halima na wenzake ni wanawake ambao kipindi chao cha uongozi wameoesha kujitegemea kimawao ati leo waitegemee Serikali ambayo wameilaumu na kuikashifu muda wote.
 
Mie naona wabunge wote sasa ni CCM, ambao ilipaswa chadema ipeleke hawakupeleka, hivyo mamlaka ikaamua kuokoteza wanachama wa chadema na kujaza nafasi, wakikiuka taratibu kadhaa.

Sijui nini kitafuata iwapo sasa chadema wakiamua kupeleka wabunge wa viti maalumu, ambao watafuata taratibu? Watakataliwa? Mdee kawa mbunge vipindi kadhaa, leo anashindwa vumilia na kuyapa nafasi maamuzi ya chama! Je, ni kweli uwezi ishi bila kuwa mbunge? Basi hauna dhamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ