Halima Mdee na wenzake 18 wagoma kufika Kamati Kuu ya chama kwa madai ya kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA


Ni hivi, acha kuwa wachache, hata wakiwa wawili, hilo kundi la wanawake wahuni linapigwa chini, na cdm wakisita kuchukua hatua, ndio wajue support yetu inakata hivyo.
 
Kwan awakusema kitakua live au

Au wanahairisha wafanyee kidigitali😂😂
Live online pengine na siyo kwenye kituo Cha televisheni labda TV ya manyang'au huko Kenya
 
Ni hivi, acha kuwa wachache, hata wakiwa wawili, hilo kundi la wanawake wahuni linapigwa chini, na cdm wakisita kuchukua hatua, ndio wajue support yetu inakata hivyo.
Bwashee mtaweza kuiendesha Chadema bila ruzuku?!
 
Niliwaona TBC maeneo ya Ufipa lakini wakaondoka!
Kisipo fanyika icho kikao leo basi tutaamini wazi kua chadema hakina uhalali kwa kuitwa chama kikuu cha upinzani piah tutamin kua kinaongozwa na kikundi kidogo cha waropokaji na wahuni
 
Ukiwa mshabiki Sana wa kitu inafika mahali unakuwa Kama Zuzu, bado hamjaelewa huu mchezo unachezwa na Mbowe!?

Ndio tunataka tujiridhishe, wengi sana hatuna imani na Mbowe bali tuna imani na Lisu, na iwapo hawatapiga chini hilo kundi la wanawake wahuni, support yetu itakata kwao rasmi. Tunasubiri hatua stahiki na sio ubabaishaji.
 

Mdee ndie kiherehere namba moja na inaelekea ndie kapangwa na Spika awe msemaji wa hilo group kwa maagizo toka serikalini
 
Kiburi cha jiwe wakala wa shetani kimetamalaki katika taifa hili.
Kiburi ya Msaliti Lisu hataki kushauriwa na viongozi wenzake, analazimisha hoja zake tu, ona sasa alivyomtega Mnyika ana wakati mgumu. Hili Bomu litamlipukia Mnyika, wakti huo Lisu yuko nje na mabeberu wake
 
Sasa aaandamane apinge matokeo ambayo yeye mwenyewe anajua ndivyo alivyochagua? Hata hawa akina mama wanajua Chama kilishindwa, sasa wanashangaa chama kinataka kufanya uongo ule wa kutunga eti kuwa ndio ukweli, wauamini
 
Unahangaika na Cdm sana
 
Kamati kuu CHADEMA acheni ukilaza. Mlishiriki uchaguzi mkuu mkijua kabisa hautakuwa wa huru na haki. Refer:Uchaguzi serikali za mitaa. Sasa mlishiriki hizo kura mlizopewa mmepata nafasi 19.Waacheni wabunge wakachape kazi bungeni.
 
Siku zote vyama vya upinzani vikiwa kwenye mgogoro lawama zote huenda kwa dola na CCM.

Unadhani wanaosema hivyo wanabahatisha? Na ushahidi wa mambo hayo uko wazi.
 
Kuna mke wa makamu wa rais Salum Mwalimu ambaye ni ester matiko, Kuna mwenyekiti wa bavicha, Kuna mke wa Alli bananga, Kuna Katibu wa bawacha, na viongozi wote wa kitaifa.
Sasa hao vigogo bogus mnyika anawaambia Nin?
 
Wawafukuze Leo , wakichelewa j3 wanakimbilia mahakamani. Fukuza hizo mbwa leo
 
Halima Mdee ni mwanamke shujaa, msomi na mwanasheria, anaijua katiba ya Chadema, na vikao vya mamlaka ya nidhamu ni kama ifuatavyo...
  • Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, ili kumvua mtu uanachama kuna mlolongo wa kanuni na taratibu za kufuatwa na miongoni mwake ni hizi nitakazo ziorodhesha hapa chini, jee zilifuatwa?.
  • Kuandaa Hati ya Mashtaka kwa maandishi yenye tuhuma zote ambazo mtuhumiwa anakabiliwa nazo. Jee hati hizi za mashitaka kimaandishi ziliandaliwa?.
  • Hati hiyo ya mashitaki kimaandishi inatakiwa ikabidhiwa kwa mtuhumiwa kwa "despatch" ili kuthibitisha imemfikia, jee hili lilifanyika?, nimesikia kuna watu waliitwa kwa simu, jee huu ndio utaratibu kwa jambo zito kama hili?.
  • Mtuhumiwa atatakiwa kuzijibu tuhuma za mashitaka hayo ndani ya kipindi cha siku 14 tangu tarehe aliyopokea barua ile ili apate muda wa kutosha kutafakari, jee hili litafanyika?.
  • Baada ya majibu ya hati ile ya mashitaka kurejeshwa, ndipo mamlaka ya nidhamu ingepaswa kuitisha kikao rasmi kwa mujibu wa katiba na kumwalika mtuhumiwa kwa barua ili kuwapa nafasi ya kujieleza na kumsikiliza kabla ya kufikia maamuzi!. Jee this time Chadema itafuata taratibu?.
Halima na genge lake they are very right, Chadema ilizoea kufanya mambo kienyeji, leo imekutana na kisiki cha mpingo!.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…