Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hadi sasa haieleweki kama kikao hicho kitafanyika ama la kadhalika uhakika wa akidi kutimia unatia shaka.
Ufipa hali ni shwari na kuna vijana wachache wa Bavicha ambao kimsingi hawatoi taarifa kama kikao kitakuwepo na kitafanyikia wapi zaidi ya kuwataka wanachama wawe na subira.
Ngoja tuone muda ndio msema kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Ni hivi, acha kuwa wachache, hata wakiwa wawili, hilo kundi la wanawake wahuni linapigwa chini, na cdm wakisita kuchukua hatua, ndio wajue support yetu inakata hivyo.