Kamati kuu Chadema acheni ukilaza. Mlishiriki uchaguzi mkuu mkijua kabisa hautakuwa wa huru na haki. Refer:Uchaguzi serikali za mitaa. Sasa mlishiriki hizo kura mlizopewa mmepata nafasi 19.Waacheni wabunge wakachape kazi bungeni.
Hao wanatimuliwa na hata wasipoenda mahakamani wataendelea kukumbatiwa na Ndugai lakini hilo halitusumbui, cha msingi tunawatimua waasi wakafie mbele.Wakifukuzwa tu, watakimbilia Mahakamani, Korti itazuia Bunge kuwatimua, Speaker atatii kwa furaha kabisa, watadunda Ubunge mpaka June 2025 huku kesi ikirushwa
Humu katikati Dec 2020 - June 2025 hawa 19 na Kamati kuu watayajenga na kusameheana ili maisha yawe rahisi kwa kila mtu
Hizi ndizo siasa za Tanzania
Ndo maana wamewadharau maana huyo mnyika hao vigogo wa bawacha atawaambia Nini wakati mwenye saccos keshaamua waende bungeni?DJ kajificha Nairobi na Lema Beberu Mrs Amsterdam yupo Brussels, Ben Kigaila yupo India
Kamati kuu ipi sasa[emoji3]?
Isijekuwa matapeli.
Mkuu huu mchezo utaisha hivihivi kihuni, kitendo cha kutosoma,kusikia wala kumuona Mbowe popote kwenye hii ishu ya akina Mdee ni picha tosha ya kinachoendelea. Tatizo wafuasi wengi wa CHADEMA ni kama mna amini CHADEMA ilikuwa inapigania maslahi ya wananchi. Hapo ndo mlipokosea, Ila Mungu si Athumani hii ishu itawafumbua macho. Kama ya kubadili gia angani ya Lowassa haikuwafumbua macho.Ndio tunataka tujiridhishe, wengi sana hatuna imani na Mbowe bali tuna imani na Lisu, na iwapo hawatapiga chini hilo kundi la wanawake wahuni, support yetu itakata kwao rasmi. Tunasubiri hatua stahiki na sio ubabaishaji.
Mbona hao ni wahuni tu wa kitaa,Walitakiwa kufika saa mbili asubuhi mbele ya kamati kuu ya CHADEMA Taifa, hadi saa tano asubuhi hawajafika ofisi za chama, makao makuu. Jeuri, kiburi, dharau. Kuna nguvu kubwa ya DOLA nyuma yao. Wangelifika mbele ya kamati kuu, wajieleze, nafikiri wameamua kuirahishia kazi CC.
Toka kwa mjumbe kamati kuu
--
Awali Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) leo waliandamana katika ofisi za makao makuu ya chama hicho zilizopo Kinondoni Dar es Salaam, kushinikiza kutowahitaji wabunge Halima Mdee, Ester Bulaya na wengine walioapishwa viti maalum.
Halima Mdee ni mwanamke shujaa, msomi na mwanasheria, anaijua katiba ya Chadema, na vikao vya mamlaka ya nidhamu ni kama ifuatavyo...
Halima na genge lake they are very right, Chadema ilizoea kufanya mambo kienyeji, leo imekutana na kisiki cha mpingo!.
- Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, ili kumvua mtu uanachama kuna mlolongo wa kanuni na taratibu za kufuatwa na miongoni mwake ni hizi nitakazo ziorodhesha hapa chini, jee zilifuatwa?.
- Kuandaa Hati ya Mashtaka kwa maandishi yenye tuhuma zote ambazo mtuhumiwa anakabiliwa nazo. Jee hati hizi za mashitaka kimaandishi ziliandaliwa?.
- Hati hiyo ya mashitaki kimaandishi inatakiwa ikabidhiwa kwa mtuhumiwa kwa "despatch" ili kuthibitisha imemfikia, jee hili lilifanyika?, nimesikia kuna watu waliitwa kwa simu, jee huu ndio utaratibu kwa jambo zito kama hili?.
- Mtuhumiwa atatakiwa kuzijibu tuhuma za mashitaka hayo ndani ya kipindi cha siku 14 tangu tarehe aliyopokea barua ile ili apate muda wa kutosha kutafakari, jee hili litafanyika?.
- Baada ya majibu ya hati ile ya mashitaka kurejeshwa, ndipo mamlaka ya nidhamu ingepaswa kuitisha kikao rasmi kwa mujibu wa katiba na kumwalika mtuhumiwa kwa barua ili kuwapa nafasi ya kujieleza na kumsikiliza kabla ya kufikia maamuzi!. Jee this time Chadema itafuata taratibu?.
P
Nani atawafukuza wakati mwenye saccos Yake kaamua kujikalia kimya na kwenye kikao HAKUNA aliyeenda na HAKUNA kikao.Executive decision
Wawafukuze wote, ccm iwachukuwe nakuwapa uanachama.
Endapo cdm itachelewa ... itarajie maumivu makali na kitadhoofishwa sana.
Ili cdm ibakie juu na heshima, hadhi, weledi na ili iendelee kukubaliana zaidi.
Chama kiwafukuze wote na yule wa mpanda. Wasiichelewe.
Let it be.Tumepigwa sana na tumeumizwa na kudhalilishwa sasa tumeachwa na makovu makubwa.
Kadiri tutakavyo taka kuyatibu kwa haraka bila uangalifu, makovu hayo yameachwa yatuuwe.
Hata haiingii akilini 2025 ni mbali sana kwa kesi kama hiyo.Wakifukuzwa tu, watakimbilia Mahakamani, Korti itazuia Bunge kuwatimua, Speaker atatii kwa furaha kabisa, watadunda Ubunge mpaka June 2025 huku kesi ikirushwa
Humu katikati Dec 2020 - June 2025 hawa 19 na Kamati kuu watayajenga na kusameheana ili maisha yawe rahisi kwa kila mtu
Hizi ndizo siasa za Tanzania
Sio Kipara wa chamwino?Ona hii tiktak aliyoicheza Mbowe,
Kawambia msije,
Kwenye uchaguzi kunakugawana ubunge au kuchagua mbunge! We,I huiba kisha wanakaa na kuanza kugawana walichoiba, asiporidhika mmoja huchomana visu.Chama chako hakitambui uchaguzi mkuu uliofanyika October 2020 na kinataka uchaguzi urudiwe. Kama msimamo wa chama ni kurudiwa kwa Uchaguzi, Mnalia haki viti 19 vya Uchaguzi upi?
Maana yake vikao walioka kamati kuu yenu kuazimia kutoutambua uchaguzi na kuweka msimamo wao urudiwe, ninyi mmepuuza vikao hivyo. Hamfai kabisa mnasukumwa na tamaa zenu za madaraka mnarudusha juhudi za chama chenu nyuma kupambania haki za watanzania.
Sasa majina wachague wenyewe na kupeleka NEC halafu wakae kikao gani tena? Au mlishitulia na kulekupayuka payuka kwa akina pambalu?? Kilakitu kinabaraka zoteHakuna mjumbe wa kamati kuu aliyeenda kikao siku ya leo.
Tuqche mbwembe.
Labda kama Mnyikankqfanya kikao peke yake
HAKUNA KK iliyokutana wote wapo majumbani kwao wamepumzika Kama vile hawakuitisha KK.Mnyika na Kamati Kuu kazi nyepesi fukuza.
Mkuu Mbowe mjanja sana!DJ kajificha Nairobi na Lema Beberu Mrs Amsterdam yupo Brussels, Ben Kigaila yupo India
Kamati kuu ipi sasa[emoji3]?
Isijekuwa matapeli.
Wasaliti hawa lazima wafukuzwe haraka.
Hilda Mwakagenda sikujua kuwa wewe Ni bonge la snitch