Tatizo la kuishi kwa kushikiwa akili hiloUnauliza au unapigia jibu mstari?
Aibu mchezo...unapofanya jambo fikiri ya kesho itakuwaje!!Muda mfupi kabla Kamati kuu CHADEMA kuwahoji wanachama wake walioapishwa kuwa wabunge wa viti maalum, wanachama hao wamesisitiza kutotokea mbele ya kamati kuu wakidai kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA wakihofia usalama endapo watafika ofisi za chama hicho.
--
Awali Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) leo waliandamana katika ofisi za makao makuu ya chama hicho zilizopo Kinondoni Dar es Salaam, kushinikiza kutowahitaji wabunge Halima Mdee, Ester Bulaya na wengine walioapishwa viti maalum.
Wanaokutana kamati kuu ni wanawake tupu ehh? Kuna maswali ya kijinga hata kuku hawezi uliza!Na huyo alieshika bango la Covid ni mwanamke pia??
Haswaaaaaa. Wamebonyezwa wasifikeUkiona panya anacheza shere kwa paka, basi tambua yuko karibu na shimo lake.
Hicho alichokifanya hadi sasa nchi inaendelea na shughuli zake zote ndio efficiency yenyewe.Kwani kwenye corona alikuwa na efficiency ipi? Nani kakuambia HIV. Inapatikana kwa kufanya ngono tu?
Nyie ndiyo mnafanya watanzania waonekane wajinga, kwa akili zenu za kipuuzi...DJ kajificha Nairobi na Lema Beberu Mrs Amsterdam yupo Brussels, Ben Kigaila yupo India
Kamati kuu ipi sasa[emoji3]?
Isijekuwa matapeli.
Hicho alichokifanya hadi sasa nchi inaendelea na shughuli zake zote ndio efficiency yenyewe.
Hata wewe unajua haiambukizwi kwa mgongo tuu ila pia unajua inaambukizwa kwa ngono kwa asilimia kubwa
Una hasira eeeeehNchi kibao zinaendelea na shughuli zao, na hatusikii propaganda mfu kuwa marais wa nchi hizo wameondoa corona. Corona haiondolewi kwa kuacha kutangazwa.
Kama haipatikani kwa ngono tu, kwanini hoja yaki mfu ilikuwa vijana waache ngono? Shubamiit.
Muda mfupi kabla Kamati kuu CHADEMA kuwahoji wanachama wake walioapishwa kuwa wabunge wa viti maalum, wanachama hao wamesisitiza kutotokea mbele ya kamati kuu wakidai kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA wakihofia usalama endapo watafika ofisi za chama hicho.
--
Awali Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) leo waliandamana katika ofisi za makao makuu ya chama hicho zilizopo Kinondoni Dar es Salaam, kushinikiza kutowahitaji wabunge Halima Mdee, Ester Bulaya na wengine walioapishwa viti maalum.
Unajidhalilisha bure tuDJ kajificha Nairobi na Lema Beberu Mrs Amsterdam yupo Brussels, Ben Kigaila yupo India
Kamati kuu ipi sasa😀?
Isijekuwa matapeli.
Sina hasira nakutoa uzalendo uchwara.Una hasira eeeeeh
Basi pole
Leo sio sauti ya zege? Halima pambana na kutetea haki za wanawake kudhalilishwa.
Mkuu hapo itakuaje kuhusu ruzuku,cdm itaendelea kuchukua kipindi chote iko au vipi?Wakifukuzwa tu, watakimbilia Mahakamani, Korti itazuia Bunge kuwatimua, Speaker atatii kwa furaha kabisa, watadunda Ubunge mpaka June 2025 huku kesi ikirushwa
Humu katikati Dec 2020 - June 2025 hawa 19 na Kamati kuu watayajenga na kusameheana ili maisha yawe rahisi kwa kila mtu
Hizi ndizo siasa za Tanzania
Ulilazimishwa kuchanga? Au ndo haukuwa unatoa msaada, Ila ulikuwa unanunua uaminifu wao? Kama Ilikuwa ni kununua uaminifu wao, basi amepatikana mwenye dau kubwa😂Wanaogopa nini Sasa,
Ok la muhimu
Chadema
Fukuza tu wote, maana kwa kweli kuwahacha haivumiliki, tumia wakaanzishe chama kipya, waende vyama vingine
Na Kama haitoshi, warudishe na pesa walizochangiwa wakiwa ndani,kutoka kwa wanachama na ambao hawakua wanachama, mazalau waliowaonyesha wa tz hayavumiliki,
Hawana uwezo wa kuongoza nchiKuna kila dalili chadema wanataka kugawana mbao za jahazi katikati ya kilindi cha bahari. Hiki ndio chama kilichokuwa kinataka kushika hatamu!!
Hakika mkuu.Mambo ya ubeligiji hayo