Halima Mdee na wenzake 18 wagoma kufika Kamati Kuu ya chama kwa madai ya kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

Halima Mdee na wenzake 18 wagoma kufika Kamati Kuu ya chama kwa madai ya kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

Muda mfupi kabla Kamati kuu CHADEMA kuwahoji wanachama wake walioapishwa kuwa wabunge wa viti maalum, wanachama hao wamesisitiza kutotokea mbele ya kamati kuu wakidai kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA wakihofia usalama endapo watafika ofisi za chama hicho.
--
Awali Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) leo waliandamana katika ofisi za makao makuu ya chama hicho zilizopo Kinondoni Dar es Salaam, kushinikiza kutowahitaji wabunge Halima Mdee, Ester Bulaya na wengine walioapishwa viti maalum.

Aibu mchezo...unapofanya jambo fikiri ya kesho itakuwaje!!

Hasa Halima ni aibu kubwa kwake!! Unaruka viunzi vyote vya hatari kunwa afu unakuja kutumbukia kwemye mtaro.....Yaani aliyoyafanya ndani ya CDM na Upinzani kwa ujumla hayana maana tena kwa sasa!! Usaliti ni dhambi imayogusa nafsi yako milele na milele.

Yaani ni kheri angeamua kuachana na CDM akajiuna CCM watu wangemuelewa.

Nani amuamini? Hata hao CCM wanaomshangilia leo believe me hawana mpango naye..sababu wanajua walichokifanya kwake !!..labda kwa TLP akawe makamu Mwenyekiti.
 
Kwani kwenye corona alikuwa na efficiency ipi? Nani kakuambia HIV. Inapatikana kwa kufanya ngono tu?
Hicho alichokifanya hadi sasa nchi inaendelea na shughuli zake zote ndio efficiency yenyewe.

Hata wewe unajua haiambukizwi kwa mgongo tuu ila pia unajua inaambukizwa kwa ngono kwa asilimia kubwa
 
DJ kajificha Nairobi na Lema Beberu Mrs Amsterdam yupo Brussels, Ben Kigaila yupo India

Kamati kuu ipi sasa[emoji3]?

Isijekuwa matapeli.
Nyie ndiyo mnafanya watanzania waonekane wajinga, kwa akili zenu za kipuuzi...
 
Nini tafasiri yake kama mtuhumiwa kaitwa na kikao cha juu kabisa cha chama na kagoma kufika kwa ajili ya kuhojiwa na kutoa utetezi wake.
Kwa mbaali naviona vyeo vya Halima na mashoga zake wate zikipotea kwenye shimo la tewa leo...

Pia naona hoja ya wao kuwakilisha utetezi wao kwa Katibu mkuu wa chama ndani ya siku 7 kwa nini wasifukuzwe uanachama ukiafikiwa.
 
Hicho alichokifanya hadi sasa nchi inaendelea na shughuli zake zote ndio efficiency yenyewe.

Hata wewe unajua haiambukizwi kwa mgongo tuu ila pia unajua inaambukizwa kwa ngono kwa asilimia kubwa

Nchi kibao zinaendelea na shughuli zao, na hatusikii propaganda mfu kuwa marais wa nchi hizo wameondoa corona. Corona haiondolewi kwa kuacha kutangazwa.

Kama haipatikani kwa ngono tu, kwanini hoja yaki mfu ilikuwa vijana waache ngono? Shubamiit.
 
Una hasira eeeeeh
Basi pole
 
Muda mfupi kabla Kamati kuu CHADEMA kuwahoji wanachama wake walioapishwa kuwa wabunge wa viti maalum, wanachama hao wamesisitiza kutotokea mbele ya kamati kuu wakidai kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA wakihofia usalama endapo watafika ofisi za chama hicho.
--
Awali Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) leo waliandamana katika ofisi za makao makuu ya chama hicho zilizopo Kinondoni Dar es Salaam, kushinikiza kutowahitaji wabunge Halima Mdee, Ester Bulaya na wengine walioapishwa viti maalum.

Wanaogopa nini Sasa,
Ok la muhimu
Chadema
Fukuza tu wote, maana kwa kweli kuwahacha haivumiliki, tumia wakaanzishe chama kipya, waende vyama vingine
Na Kama haitoshi, warudishe na pesa walizochangiwa wakiwa ndani,kutoka kwa wanachama na ambao hawakua wanachama, mazalau waliowaonyesha wa tz hayavumiliki,
 
Leo sio sauti ya zege? Halima pambana na kutetea haki za wanawake kudhalilishwa.

Wewe na wewe kichwa kibovu!

Kuitwa kujieleza ni udhalilishaji?unafahamu hasa lugha ya Kiswahili?unaweza kusema hapa wamedhalilishwa vipi?
 
Kuna kila dalili chadema wanataka kugawana mbao za jahazi katikati ya kilindi cha bahari. Hiki ndio chama kilichokuwa kinataka kushika hatamu!!
 
Wakifukuzwa tu, watakimbilia Mahakamani, Korti itazuia Bunge kuwatimua, Speaker atatii kwa furaha kabisa, watadunda Ubunge mpaka June 2025 huku kesi ikirushwa

Humu katikati Dec 2020 - June 2025 hawa 19 na Kamati kuu watayajenga na kusameheana ili maisha yawe rahisi kwa kila mtu

Hizi ndizo siasa za Tanzania
Mkuu hapo itakuaje kuhusu ruzuku,cdm itaendelea kuchukua kipindi chote iko au vipi?
 
Wanaogopa nini Sasa,
Ok la muhimu
Chadema
Fukuza tu wote, maana kwa kweli kuwahacha haivumiliki, tumia wakaanzishe chama kipya, waende vyama vingine
Na Kama haitoshi, warudishe na pesa walizochangiwa wakiwa ndani,kutoka kwa wanachama na ambao hawakua wanachama, mazalau waliowaonyesha wa tz hayavumiliki,
Ulilazimishwa kuchanga? Au ndo haukuwa unatoa msaada, Ila ulikuwa unanunua uaminifu wao? Kama Ilikuwa ni kununua uaminifu wao, basi amepatikana mwenye dau kubwa😂
 
Mambo ya ubeligiji hayo
Hakika mkuu.
EmX9WR_XUAESJUV.jpg
 
Back
Top Bottom