zanzibakwetu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2014
- 618
- 377
Acha wivu wewe,ungekuwa wewe ungefanyaje? Ni haki yao ndiyo maana wamepokelewa bungeni,kwani katibu wezi wanachukuliwa hatua gani mbona Mbowe Mara kwa Mara anakibambikia Chama madeni alafu anashinikizwa yalipwe kumbe anajilipa yeye . Kwa ubadhirifu huo yeye mmemchukulia hatua gani au katiba inamruhusu kufanya ubadhirifu huoNjaa mbaya sana sana
Hao wameshapotea kisiasa na kujishushia heshima...
Mnyika ndio atawaomba msamaha akina Mdee!Yaan kwangu usaliti ni dhambi kuu kuliko zote. Ni bora uniue kabisa nisiwepo niendelee kushuhudia mambo yako. Yaan ukanisaliti nakukata maisha. Sitaki tena asilani abadani kujihusisha na wewe kinamna yoyote. Kiujumla Mdee na genge lake wameshapoteza ramani ya siasa. Hata wakasamehewa na wakabaki yaani hawana tena ule mvuto...
Sidhani kama atakuelewa!Acha wivu wewe,ungekuwa wewe ungefanyaje? Ni haki yao ndiyo maana wamepokelewa bungeni,kwani katibu wezi wanachukuliwa hatua gani mbona Mbowe Mara kwa Mara anakibambikia Chama madeni alafu anashinikizwa yalipwe kumbe anajilipa yeye . Kwa ubadhirifu huo yeye mmemchukulia hatua gani au katiba inamruhusu kufanya ubadhirifu huo
Acha kusema hovyo wewe,unajua maana ya kuiba kura wewe,ukiambiwa uthibitishe unaweza kufanya hivyoUnasema kweli kabisa, tangu mwaka 1961 baada ya TANU kuchukua Nchi wapinzani walituchelewesha sana, tukabadirisha chama kuwa CCM wapinzani wakazidi kutuchelwesha, hadi leo tumenunua watu wao bado tu, na sasa tumeiba kura sijui kama tutabadirika
πππWapinzani walituchelewesha sana, au nasema uongo ndugu zangu?
Utawatoa wewe?Hawawezi kuomba msamaha alafu wabakie bungeni!!?
ni lazima watoke kule
Jipe matumaini. Hakuna kitu kama hicho. Yaan na wewe ni mboga mboga mkuu? Tumbo la uzazi limeniuma[emoji23][emoji23][emoji23]Mnyika ndio atawaomba msamaha akina Mdee!
Wewe Ni mkweli sanaaa na sitaeleza sababu. Kwa sababu wenye akili wote huijua hiyo sababu.Wapinzani walituchelewesha sana, au nasema uongo ndugu zangu?
Acha uongo wewe, wewe umefanya ya usaliti kwenye maisha yako Mara ngapi? Kwa sababu wewe inaonekana umekaa kimaslahi maslahi,kumbuka mwanaune uliyenae Sasa ndiyo uliyeanza nae ,nn kilikuoelekea kunyacha yule na kuwa na huyu uliyenae sasa Kama si masilahi nyie wakina Derila hamuaminiki hata kidogo mmekaa mguu nje ndani Sasa kinachokufanya usanyooshee vidole wakina mdee Ni wivu tu huna lolote bidada weweYaan kwangu usaliti ni dhambi kuu kuliko zote. Ni bora uniue kabisa nisiwepo niendelee kushuhudia mambo yako. Yaan ukanisaliti nakukata maisha. Sitaki tena asilani abadani kujihusisha na wewe kinamna yoyote. Kiujumla Mdee na genge lake wameshapoteza ramani ya siasa. Hata wakasamehewa na wakabaki yaani hawana tena ule mvuto...
πππππππKuna "kitu" unavuta siku hizi.
Huna lolote wewe wivu unakusumbua unaona wadada wenzio wamekula shavu umri unakwenda, maisha yanaendelea ,wewe umebaki kupiga majungu mitandaoni tena hata huoni haya mwanamke mzima kuwapiga Vita Wanawake wenzioJipe matumaini. Hakuna kitu kama hicho. Yaan na wewe ni mboga mboga mkuu? Tumbo la uzazi limeniuma[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaa.......!πππππππ
Kama unataka kumuua mbwa wako mgee jina baya tu.Ila wamebatizwa jina baya Covid 19!
Tunataka watamke wenyeweBwashee mbona unasahau haraka? barua si gogoki2014 alisema kwamba aliyesimamia zoezi zima ni Bulaya na mashinji?
Yap upo sahihiNjaa mbaya sana sana
Hao wameshapotea kisiasa na kujishushia heshima
Wametanguliza maslahi ya familia na matumbo yao mbele
Hata wakiwa ccm hao ni wasaliti tu
Muangalie David Kafulila bosi wake alimwambia usigombee yeye kwa kiburi alichotoka nacho NCCR mageuzi akagombea ubunge
Covid 19 hilo ni kundi hatari ambalo watoto watakuja kufundishwa kwenye sheria kama reference ya sheria kuvunjwa za nchi
Wakiomba msamaha na kuwa wanachama wa kawaida sioni tatizoCHADEMA mkiwasamehe hawa wasakatonge mtatudisappoint sana.
Kutakuwa hamna tofauti tena kati ya ACT Wazalendo, cuf na CHADEMA, wote mtakuwa ni misisiyemu
Kusamehewa tafsiri yake ni kukubaliana na ubunge waoWakiomba msamaha na kuwa wanachama wa kawaida sioni tatizo
Hapana wanaweza kuwa wanachama bila kuwa wabungeKusamehewa tafsiri yake ni kukubaliana na ubunge wao
Habar za Chadema zinashadadiwa na mCcmWabunge wa viti maalumu kupitia Chadema mh Halima James Mdee na wenzake 18 wamekata rufaa kupinga kuvuliwa uanachama na kamati kuu ya chama hicho.
Chanzo: Mwananchi
My take; Hongereni kwa kuzingatia muda.
Maendeleo hayana vyama!