Halima Mdee na wenzake 18 wakata Rufaa CHADEMA

Halima Mdee na wenzake 18 wakata Rufaa CHADEMA

Njaa mbaya sana sana

Hao wameshapotea kisiasa na kujishushia heshima...
Acha wivu wewe,ungekuwa wewe ungefanyaje? Ni haki yao ndiyo maana wamepokelewa bungeni,kwani katibu wezi wanachukuliwa hatua gani mbona Mbowe Mara kwa Mara anakibambikia Chama madeni alafu anashinikizwa yalipwe kumbe anajilipa yeye . Kwa ubadhirifu huo yeye mmemchukulia hatua gani au katiba inamruhusu kufanya ubadhirifu huo
 
Yaan kwangu usaliti ni dhambi kuu kuliko zote. Ni bora uniue kabisa nisiwepo niendelee kushuhudia mambo yako. Yaan ukanisaliti nakukata maisha. Sitaki tena asilani abadani kujihusisha na wewe kinamna yoyote. Kiujumla Mdee na genge lake wameshapoteza ramani ya siasa. Hata wakasamehewa na wakabaki yaani hawana tena ule mvuto...
Mnyika ndio atawaomba msamaha akina Mdee!
 
Acha wivu wewe,ungekuwa wewe ungefanyaje? Ni haki yao ndiyo maana wamepokelewa bungeni,kwani katibu wezi wanachukuliwa hatua gani mbona Mbowe Mara kwa Mara anakibambikia Chama madeni alafu anashinikizwa yalipwe kumbe anajilipa yeye . Kwa ubadhirifu huo yeye mmemchukulia hatua gani au katiba inamruhusu kufanya ubadhirifu huo
Sidhani kama atakuelewa!
 
Unasema kweli kabisa, tangu mwaka 1961 baada ya TANU kuchukua Nchi wapinzani walituchelewesha sana, tukabadirisha chama kuwa CCM wapinzani wakazidi kutuchelwesha, hadi leo tumenunua watu wao bado tu, na sasa tumeiba kura sijui kama tutabadirika
Acha kusema hovyo wewe,unajua maana ya kuiba kura wewe,ukiambiwa uthibitishe unaweza kufanya hivyo
 
Yaan kwangu usaliti ni dhambi kuu kuliko zote. Ni bora uniue kabisa nisiwepo niendelee kushuhudia mambo yako. Yaan ukanisaliti nakukata maisha. Sitaki tena asilani abadani kujihusisha na wewe kinamna yoyote. Kiujumla Mdee na genge lake wameshapoteza ramani ya siasa. Hata wakasamehewa na wakabaki yaani hawana tena ule mvuto...
Acha uongo wewe, wewe umefanya ya usaliti kwenye maisha yako Mara ngapi? Kwa sababu wewe inaonekana umekaa kimaslahi maslahi,kumbuka mwanaune uliyenae Sasa ndiyo uliyeanza nae ,nn kilikuoelekea kunyacha yule na kuwa na huyu uliyenae sasa Kama si masilahi nyie wakina Derila hamuaminiki hata kidogo mmekaa mguu nje ndani Sasa kinachokufanya usanyooshee vidole wakina mdee Ni wivu tu huna lolote bidada wewe
 
Jipe matumaini. Hakuna kitu kama hicho. Yaan na wewe ni mboga mboga mkuu? Tumbo la uzazi limeniuma[emoji23][emoji23][emoji23]
Huna lolote wewe wivu unakusumbua unaona wadada wenzio wamekula shavu umri unakwenda, maisha yanaendelea ,wewe umebaki kupiga majungu mitandaoni tena hata huoni haya mwanamke mzima kuwapiga Vita Wanawake wenzio
 
Ile kesi yao ccm wanasubiri kwanza wajue hatima ya rufaa yao ndio waamue kama itupiliwe mbali au la.

Nasikia bunge iliwalipa akina Halima na Bulaya posho zao zote walizonyimwa wakati walipokuwa wamesimamishwa vikao kama sharti la kuwashawishi wenzao wakubali kwenda kuapishwa.

Mwanamke akishakuacha akaenda kuolewa na mwanaume mwingine kisha eti anataka arejee ni hatari sana kumkubalia. Hao waachwe tu waende zao ccm. That's all.
 
Njaa mbaya sana sana

Hao wameshapotea kisiasa na kujishushia heshima

Wametanguliza maslahi ya familia na matumbo yao mbele

Hata wakiwa ccm hao ni wasaliti tu

Muangalie David Kafulila bosi wake alimwambia usigombee yeye kwa kiburi alichotoka nacho NCCR mageuzi akagombea ubunge

Covid 19 hilo ni kundi hatari ambalo watoto watakuja kufundishwa kwenye sheria kama reference ya sheria kuvunjwa za nchi
Yap upo sahihi
 
Wabunge wa viti maalumu kupitia Chadema mh Halima James Mdee na wenzake 18 wamekata rufaa kupinga kuvuliwa uanachama na kamati kuu ya chama hicho.

Chanzo: Mwananchi

My take; Hongereni kwa kuzingatia muda.

Maendeleo hayana vyama!
Habar za Chadema zinashadadiwa na mCcm
2628250_Kwani_bwana_dunguhai_una_mtindio_wa_ubongo____410_X_640_.jpg
 
Back
Top Bottom