Pre GE2025 Halima Mdee na Wenzake 18 walifukuzwa CHADEMA kwa Usaliti, Nafasi yao Haipo tena na haitokuja kuwepo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uliwasikia wao wenyewe wakisema hivyo, au umeamua kuwasemea wewe?

Kingine ni hiki, Chadema ina wamama wengi mno wenye uwezo mkubwa sana kuliko hata hao
Hakuna jembe kama Halima Mdee tusidanganyane hapa. Ila kama na wewe unataka kumpenyeza mkeo viti maalum CHADEMA nitakuelewa
 
Wewe na Mchungaji Msigwa mnafanana kwa ukapuku

Chadema inahitaji Watu Wenye ukwasi akina Halima Mdee,mama Kaboyoka, Bulaya nk

Sasa wewe hata Bawacha tu huna hadhi yoyote

Ulale Unono 😃😃
Endelea kubishana jf usifiwe
 
GREAT.

By the way; Hii ni Taarifa rasmi ya Chama? Na wewe uliyeileta/uliyei publish ni nani pale CHADEMA?
 
Hakuna mwanasiasa au Chama cha siasa chenye msimamo kwa lolote
Hata kinyume cha uliyoandika kikitokea utakuwa tena hapa kwa shangwe na vigeregere.
 
2025 Hawa wadada wanaelekea wapi mungu wa mbinguni?

Ukiingia Bungeni miaka mitano umesha uaga umasikini......
Hata wakiamua kubakia mtaani waendeshe maisha yao na Mtaji wa nguvu wanapatiwa wakiagwa. Usije kujifananisha na mtu anafanya kazi miaka tano anapewa kiinua mgongo kikubwa kuliko mfanyakazi aliyehudumu miaka 35
 
Utumboo huu aisee mbona mwenzie twaha mwaipaja alitoka?
 
GREAT.

By the way; Hii ni Taarifa rasmi ya Chama? Na wewe uliyeileta/uliyei publish ni nani pale CHADEMA?
Mimi ni mwandishi wa JF nimenukuu maelezo ya Kamati kuu na Baraza kuu la Chadema, Maamuzi yake yalitangazwa hadharani
 

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1821219361928995144?t=0M-Trt6M6zmEhxw_oqhSNw&s=19
 
Ila ni warembo tuacheni utani nyie.
Sasa tuliowapenda tutawapata wapi kunywa nao chai kutokana na busara hiyo ya baba wa Taifa?
 
Japo uko nje ya mada lakini nataka nikusaidie, ni hivi, Lowassa aliletwa Chadema na Dr Slaa na Rafiki yake Askofu Gwajima, kumhusisha Mbowe ama hujui au umedhamiria kudanganya
Naona unaleta utani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…