Pre GE2025 Halima Mdee na Wenzake 18 walifukuzwa CHADEMA kwa Usaliti, Nafasi yao Haipo tena na haitokuja kuwepo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kamati kuu ilituaminisha kwamba wamefukuzwa uanachama kwahiyo tunajua siyo wanachama ni wanachama wa Magu na Tulia. Kurudi kwao kutatufanya tusiwe na Imani na akina Kigaila na wenzake. Acheni chama kisimame kama chama na matamko yake. Mkiwarudisha mtakuwa mnatuaminisha kuwa kweli mliwaruhusu kwenda bungeni. Hatutakuwa na Imani na kamati kuu. Tutaendelea kuamini maneno ya Makamu kwamba kuna Rushwa inatafuna Chadema.
 
Mk
Mkuu inasemekana mgao wa Abdul umekupitia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…