Neurologist
JF-Expert Member
- Nov 5, 2020
- 518
- 1,296
Hawa akina Halima ubunge wameshaupata, waridhike wasikivuruge chamaBaraza la Wanawake wa Chadema limekanusha kuitisha kongamano lolote linalohusiana na BAWACHA , hivyo halitambui kongamano lolote litakalofanywa kwa kutumia jina lao.
View attachment 1651556View attachment 1651558
Chadema inapokea maoni kutoka kila mahali , wasilisha sera mbovu zifanyiwe kaziBasi, kama ni muigizaji kiasi kile anastahili tuzo ya uigizaji.
Mtu kuigiza hadi unavunjwa viuongo kikwelikweli; sijawahi ona mwigizaji wa namna ile.
Niliposikia Mbowe akisema angependa mrithi wake awe ni kutoka BAWACHA, nilidhani alikuwa akimlenga Halima; kunbe sio? Nani basi?
Juhudi zote zile alizokuwa akizifanya hadi Bungeni, ilikuwa ni maigizo?
Lakini pia tukubali kuwapa sifa zao watu wa CCM waliofanikiwa kumrubuni. Kwanza mtu ungeanzia wapi kumsogelea Halima na kuanza kulainisha kirahisi vile? Yaani kukosa ubunge tu, tena kwa kunyang'anywa kwa nguvu, ndiyo ikawa sababu rahisi ya kumlainisha kirahisi vile Halima na akina Ester wawili?
Hawa mabinti wameingia katika historia ya usaliti, itakayowaandama maisha yao yote. Sasa wanazidi kujidhalilisha kwa haya wanayoendelea kuyafanya, huku wakiwa nje ya chama.
Matumaini ya wengi baada ya mkasa huu wa Halima na wenzake ni kwamba CHADEMA imefuzu. Imeviruka vihunzi vyote kwa ufanisi mkubwa. Chama hakijawahi kujitakasa kuliko kilivyojitakasa wakati huu. Kazi kwenu sasa kuzidi kukiimarisha chama hasa huko vijijini na mitaani.
Sasa hivi hakuna asiyejua uwepo wa CHADEMA tena ndani ya nchi hii.
Mwisho: ushauri wangu. Tazameni kwa makini sana sera zenu. Kuna baadhi ya sera hizo haziuziki kabisa kwa jamii ya waTanzania. Zitazameni kwa makini mzirekebishe panapotakiwa.
Matusi kwa tafsiri ya kwenu ni nini ?makamanda mnapitia wakati mgumu sana kisiasa, miezi kadhaa nyuma mmesumbua sana na maneno yenu ya mipasho bila hata kuweka akiba ya maneno, haya ndo malipo ya matusi na usaliti wenu dhidi ya taifa, na nadhani kuna kitu mtajifunza.
Kilichofanyika kwenye uchaguzi tumekiona kwa macho yetu, usiwasingizie wananchi. Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.CHADEMA kinasimamia kikamilifu mchakato wa kifo chake.
Wananchi walikinyima kura lakini enewei sikio la kufa....
Yaani watu wanao shabikia upinzani hua ni kama punguani tu,ni afadhari kukaa kama sisi bila vyama vya siasa,sasa hapa hao CCM wanakujaje? Kutwa kucha ni visingizio tu,chama cha siasa kimesha jichanga lakini shutuma zinaenda kwa kundi jingine,wapuuzi kweli ninyi
Sasa ndio tayari wabunge, nyie chadema mmepoteza wao covid wamepataHatukatai kupata hizo pesa shida ni uhalali wa kuingia huko bungeni inaenda kuwa kituko cha bunge linavyo endeshwa dunianzima
Nikupe mfano mmoja ulio wazi:Chadema inapokea maoni kutoka kila mahali , wasilisha sera mbovu zifanyiwe kazi
Kizazi hiki cha keyboard machafuko yatatoka wapi?Ccm ni janga la taifa letu na ndiyo hao watakao leta machafuko
Hata najua basi?Kizazi hiki cha keyboard machafuko yatatoka wapi?