Tetesi: Halima Mdee na wenzake kutimkia CCM na baadhi kuomba msamaha

Mtapenda

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
1,115
Reaction score
2,063
Tetesi

Ni kwamba akina mdee na wenzake baadhi wataomba msamaha na wengine wenye mvuto watajiunga rasmi CCM akiwemo Hawa Bananga ambaye mumewe Binam Bananga kashatangulia CCM, halima mdee na ester bulaya hao wote watajiunga CCM

Na wengine ndege tunduni ambao walirubuniwa na akina bulaya na wenzake wataomba radhi kwenye chama na chama kitawasemehe lakini hawatakua na uongozi wowote hadi baada ya 2025

Ikowazi nafasi zao bungeni zilikua zinalindwa na mwendazake kwa kushirikiana na ndugai mzee kongwa... Bahati mbaya hao wote hawana lolote na msaada wowote kwa sasa mmoja marehemu mwingine sio bungeni tuu ata chamani hana ushawishi

Tunajua fika mkuu wa nchi na Mbowe ni damu damu wameshibana na wanaelewana hakuna uhuni wowote utakao fanywa..

Chadema itateua wanawake wengine 19 ambao walikua wanamsimamo na walio linda heshima yao na kupeleka hayo majina tume ya uchaguzi...

KWA HILI NAWAPONGEZA CHADEMA KWA MSIMAMO
 
Naomba kuuliza: Neno COVID-19 limeingiaje na lina husikaje kwenye Mada husika?

Ufafanuzi tafadhali?
 
Tetesi

Ni kwamba akina mdee na wenzake baadhi wataomba msamaha na wengine wenye mvuto watajiunga rasmi CCM akiwemo Hawa Bananga ambaye mumewe Binam Bananga kashatangulia CCM, halima mdee na ester bulaya hao wote watajiunga CCM

Na wengine ndege tunduni ambao walirubuniwa na akina bulaya na wenzake wataomba radhi kwenye chama na chama kitawasemehe lakini hawatakua na uongozi wowote hadi baada ya 2025

Ikowazi nafasi zao bungeni zilikua zinalindwa na mwendazake kwa kushirikiana na ndugai mzee kongwa... Bahati mbaya hao wote hawana lolote na msaada wowote kwa sasa mmoja marehemu mwingine sio bungeni tuu ata chamani hana ushawishi

Tunajua fika mkuu wa nchi na mbowe ni damu damu wameshibana na wanaelewana hakuna uhuni wowote utakao fanywa..

Chadema itateuwa wanawake wengine 19 ambao walikua wanamsimamo na walio linda heshima yao na kupeleka hayo majina tume ya uchaguzi...

KWA HILI NAWAPONGEZA CHADEMA KWA MSIMAMO

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Kilichosababisha mwanzo wasiteue hadi Halima wakajipeleka wenyewe ni nini?
Chadema ni wahuni

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Tetesi

Ni kwamba akina mdee na wenzake baadhi wataomba msamaha na wengine wenye mvuto watajiunga rasmi CCM akiwemo Hawa Bananga ambaye mumewe Binam Bananga kashatangulia CCM, halima mdee na ester bulaya hao wote watajiunga CCM

Na wengine ndege tunduni ambao walirubuniwa na akina bulaya na wenzake wataomba radhi kwenye chama na chama kitawasemehe lakini hawatakua na uongozi wowote hadi baada ya 2025

Ikowazi nafasi zao bungeni zilikua zinalindwa na mwendazake kwa kushirikiana na ndugai mzee kongwa... Bahati mbaya hao wote hawana lolote na msaada wowote kwa sasa mmoja marehemu mwingine sio bungeni tuu ata chamani hana ushawishi

Tunajua fika mkuu wa nchi na Mbowe ni damu damu wameshibana na wanaelewana hakuna uhuni wowote utakao fanywa..

Chadema itateua wanawake wengine 19 ambao walikua wanamsimamo na walio linda heshima yao na kupeleka hayo majina tume ya uchaguzi...

KWA HILI NAWAPONGEZA CHADEMA KWA MSIMAMO
Tuone mwisho wake hapo
 
Chadema waligomea uchaguzi na hawakutaka kupeleka wabunge wao. Sasa wakipeleka WAMEBARIKI UCHAGUZI ULIOPITA.
Ule msemo wa WAMEBANA WAMEACHIA wanao
 
Kmmmk badale mleta nyuz za kulalamikia kuhusu mafuta kutokaamtika mnaleta hbr za kina mdeee
 
Tetesi

Ni kwamba akina mdee na wenzake baadhi wataomba msamaha na wengine wenye mvuto watajiunga rasmi CCM akiwemo Hawa Bananga ambaye mumewe Binam Bananga kashatangulia CCM, halima mdee na ester bulaya hao wote watajiunga CCM

Na wengine ndege tunduni ambao walirubuniwa na akina bulaya na wenzake wataomba radhi kwenye chama na chama kitawasemehe lakini hawatakua na uongozi wowote hadi baada ya 2025

Ikowazi nafasi zao bungeni zilikua zinalindwa na mwendazake kwa kushirikiana na ndugai mzee kongwa... Bahati mbaya hao wote hawana lolote na msaada wowote kwa sasa mmoja marehemu mwingine sio bungeni tuu ata chamani hana ushawishi

Tunajua fika mkuu wa nchi na Mbowe ni damu damu wameshibana na wanaelewana hakuna uhuni wowote utakao fanywa..

Chadema itateua wanawake wengine 19 ambao walikua wanamsimamo na walio linda heshima yao na kupeleka hayo majina tume ya uchaguzi...

KWA HILI NAWAPONGEZA CHADEMA KWA MSIMAMO
Wote wachumia tumbo tu, si chadema si ccm , ni wahuni wote
 
Back
Top Bottom