Mtapenda
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 1,115
- 2,063
Tetesi
Ni kwamba akina mdee na wenzake baadhi wataomba msamaha na wengine wenye mvuto watajiunga rasmi CCM akiwemo Hawa Bananga ambaye mumewe Binam Bananga kashatangulia CCM, halima mdee na ester bulaya hao wote watajiunga CCM
Na wengine ndege tunduni ambao walirubuniwa na akina bulaya na wenzake wataomba radhi kwenye chama na chama kitawasemehe lakini hawatakua na uongozi wowote hadi baada ya 2025
Ikowazi nafasi zao bungeni zilikua zinalindwa na mwendazake kwa kushirikiana na ndugai mzee kongwa... Bahati mbaya hao wote hawana lolote na msaada wowote kwa sasa mmoja marehemu mwingine sio bungeni tuu ata chamani hana ushawishi
Tunajua fika mkuu wa nchi na Mbowe ni damu damu wameshibana na wanaelewana hakuna uhuni wowote utakao fanywa..
Chadema itateua wanawake wengine 19 ambao walikua wanamsimamo na walio linda heshima yao na kupeleka hayo majina tume ya uchaguzi...
KWA HILI NAWAPONGEZA CHADEMA KWA MSIMAMO