Uchaguzi 2020 Halima Mdee: Natuhumiwa kumchonganisha Gwajima na madhehebu mengine na waumini wake

Mdee ameshaona dalili zote za kushindwa,ameamua kuanzisha siasa majitaka.

Atuwekee na clip za enzi zile gwajima anawapigia debe wao
 
Domo, ulimi, kinywa na moyo wa Gwajima kwa madhehebu mengine ndio Tatizo lake. Anatapika matapishi anayeshindwa kuyatetea.

Dhambi hii itamuadhibu Gwajima hapa hapa duniani.
Anaehukumu ni Mungu tu binadamu sio kazi yako hio.......na pia mtu anaweza akatumbu na kusamehewa dhambi zake huo ndo ukristo.....huo wa kwenu ukristo wa mabeberu ambaruti version
 
Adhabu hizi huamuliwa ndani ya ccm na hutangazwa na nec! shame! shame!
Gwajima ni tapeli na msanii na huu ndio ukweli hakuna Mungu pale na kiyama hawa ndio kuni!
 
Anaehukumu ni Mungu tu binadamu sio kazi yako hio.......na pia mtu anaweza akatumbu na kusamehewa dhambi zake huo ndo ukristo.....huo wa kwenu ukristo wa mabeberu ambaruti version
tatizo lako siku zote humu unaonyeshaga utapia mlo wako wa akili!
 
Uongozi wa nec miaka ya nyuma walijitahidi kuficha ukadawao wa mwaka huu wamejidhihirisha. Polepole akituhumu wanatekeleza
 
Kuwa na mali kama mchungaji ni dhambi mkuu?
 
Acha afungiwe ,yeye sikazowea kuleta ubabe wake akae siku Saba akili imcheze
 
Halima ajikite ktk kunadi sera zake kama atakuwa na jambo jipya labda!

Asitafute huruma kupitia kuchafuliwa kwa Gwajima!

Dhahabu hata ikipakwa tope itabaki kuwa dhahabu!

Halima amefulia kisera hana jipya !
 
Halima tunataka kusikia sera zako kama utakuwa na jipya ambalo ndani ya Miaka 10 halikuonekana
 
Ndio uliyokuwa unayataka ayo ungenadi Sera kwenye kampeni zako yasingekukuta haya umelipata ulilokuwa unalitafuta.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Wapumbafu kabisa hao Halima ndio alimtuma aseme atageuza misikiti kuwa sunday school ? Halima ndio alimtuma ale kondoo , ila shenzi linajua kuchagua kondoo balaa.
 
CCM kwa sasa inaomba usaidizi wa NEC, Police na Msajili wa vyama kuwaokoa... ni haki mbaya mno.

Ngoma ya safari hii inaondoka na mtu aisee!!
 
Usikate tamaa Halima. alisema Gwejima kuwa madrasa zote ktk kawe angezibadilisha kuwa Sunday school. Hapo hujamdhalilisha kwani mwenyewe Gwejima alisema kwa kinywa chake. Kaza Spana Halima. Hakuna kurudi nyuma. Keep it up. Unafanya vizuri
 
Kwa taarifa yako Kamati ya Maadili inahusisha vyama vyote vinavyoshiriki kwenye uchaguzi wa 2020 ikiwemo Chadema! Sasa kama hata vyama vingine vimeona anastahiri kupigwa ban akubali tu huyo mbunge mstaafu.
Unauhakika na hilo? Adhabu zinaandaliwa kabla ya kikao na matokeo hujulikana kabla ya kikao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…