fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,372
- 4,090
Mdee ameshaona dalili zote za kushindwa,ameamua kuanzisha siasa majitaka.
Atuwekee na clip za enzi zile gwajima anawapigia debe wao
Atuwekee na clip za enzi zile gwajima anawapigia debe wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaehukumu ni Mungu tu binadamu sio kazi yako hio.......na pia mtu anaweza akatumbu na kusamehewa dhambi zake huo ndo ukristo.....huo wa kwenu ukristo wa mabeberu ambaruti versionDomo, ulimi, kinywa na moyo wa Gwajima kwa madhehebu mengine ndio Tatizo lake. Anatapika matapishi anayeshindwa kuyatetea.
Dhambi hii itamuadhibu Gwajima hapa hapa duniani.
Kamati ya Maadili inahusisha CHADEMA, CCM-A, CCM-B, CCM-C, CCM-D, CCM-E, CCM-F, CCM-G etc
Kulia kupokezana tu,hata 2000,2005 Chadema nacho kilikua CCM-BKamati ya Maadili inahusisha CHADEMA, CCM-A, CCM-B, CCM-C, CCM-D, CCM-E, CCM-F, CCM-G etc
tatizo lako siku zote humu unaonyeshaga utapia mlo wako wa akili!Anaehukumu ni Mungu tu binadamu sio kazi yako hio.......na pia mtu anaweza akatumbu na kusamehewa dhambi zake huo ndo ukristo.....huo wa kwenu ukristo wa mabeberu ambaruti version
Sio mbaya.....mwenye kuvimbiwa na akilitatizo lako siku zote humu unaonyeshaga utapia mlo wako wa akili!
Kuwa na mali kama mchungaji ni dhambi mkuu?Tatizo la Gwajiboy ni kula kondoo wake! Pia kuwaibia waumini wake; eti mchungaji ana magari mawili aina ya Hammer (sijui kama una idea ya bei yake?), private jet, etc., wakati waumini wake husalia kwenye uwazi wakipigwa na mvua na jua, huku wakiendelea "kumtolea Bwan"a, kwa kumneemesha Gwajiboy!
Acha afungiwe ,yeye sikazowea kuleta ubabe wake akae siku Saba akili imchezeMgombea Ubunge jimbo la Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Halima Mdee, amesema kuwa hajakubaliana na maamuzi ya Kamati ya Maadili ambayo yamemsimamisha kutofanya kampeni siku 7 na anaelekea Tume kuwasilisha rufaa yake.
Mdee ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam, ambapo amesema kuwa Kamati ya Maadili ilitoa hukumu bila kumsikiliza wala kusikiliza ushahidi wake aliowasilisha.
“Kwa mujibu wa tuhuma nilizopewa na Chama cha Mapinduzi kuwa namchonganisha Gwajima na madhehebu mengine na waumini wake, nimewasilisha ushahidi mbele ya Kamati ya Maadili lakini hawajataka kunisikiliza”, amesema Mdee.
Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CHADEMA, Halima Mdee amefungiwa kufanya Kampeni kwa siku saba kuanzia Oktoba 12 hadi Octoba 18 kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi.
Ndio uliyokuwa unayataka ayo ungenadi Sera kwenye kampeni zako yasingekukuta haya umelipata ulilokuwa unalitafuta.Mgombea Ubunge jimbo la Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Halima Mdee, amesema kuwa hajakubaliana na maamuzi ya Kamati ya Maadili ambayo yamemsimamisha kutofanya kampeni siku 7 na anaelekea Tume kuwasilisha rufaa yake.
Mdee ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam, ambapo amesema kuwa Kamati ya Maadili ilitoa hukumu bila kumsikiliza wala kusikiliza ushahidi wake aliowasilisha.
“Kwa mujibu wa tuhuma nilizopewa na Chama cha Mapinduzi kuwa namchonganisha Gwajima na madhehebu mengine na waumini wake, nimewasilisha ushahidi mbele ya Kamati ya Maadili lakini hawajataka kunisikiliza”, amesema Mdee.
Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CHADEMA, Halima Mdee amefungiwa kufanya Kampeni kwa siku saba kuanzia Oktoba 12 hadi Octoba 18 kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi.
Usikate tamaa Halima. alisema Gwejima kuwa madrasa zote ktk kawe angezibadilisha kuwa Sunday school. Hapo hujamdhalilisha kwani mwenyewe Gwejima alisema kwa kinywa chake. Kaza Spana Halima. Hakuna kurudi nyuma. Keep it up. Unafanya vizuriMgombea Ubunge jimbo la Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Halima Mdee, amesema kuwa hajakubaliana na maamuzi ya Kamati ya Maadili ambayo yamemsimamisha kutofanya kampeni siku 7 na anaelekea Tume kuwasilisha rufaa yake.
Mdee ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam, ambapo amesema kuwa Kamati ya Maadili ilitoa hukumu bila kumsikiliza wala kusikiliza ushahidi wake aliowasilisha.
“Kwa mujibu wa tuhuma nilizopewa na Chama cha Mapinduzi kuwa namchonganisha Gwajima na madhehebu mengine na waumini wake, nimewasilisha ushahidi mbele ya Kamati ya Maadili lakini hawajataka kunisikiliza”, amesema Mdee.
Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CHADEMA, Halima Mdee amefungiwa kufanya Kampeni kwa siku saba kuanzia Oktoba 12 hadi Octoba 18 kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi.
Unauhakika na hilo? Adhabu zinaandaliwa kabla ya kikao na matokeo hujulikana kabla ya kikao.Kwa taarifa yako Kamati ya Maadili inahusisha vyama vyote vinavyoshiriki kwenye uchaguzi wa 2020 ikiwemo Chadema! Sasa kama hata vyama vingine vimeona anastahiri kupigwa ban akubali tu huyo mbunge mstaafu.
Bado hujaiona?Jamani acheni uongo, mbona sijaona hiyo mnayoita clip ya Mhe. Baba Askofu Gwajima?