Uchaguzi 2020 Halima Mdee: Natuhumiwa kumchonganisha Gwajima na madhehebu mengine na waumini wake

huyu gwajima si alitutakana waislamu na kutudhalilisha, tukutane oktoba 28
 
Hawajataka kumsikiliza au utetezi wake umeonekana hauna mashiko??
 
Unauhakika na hilo? Adhabu zinaandaliwa kabla ya kikao na matokeo hujulikana kabla ya kikao.
Una ushahidi kwahiyo hata mjumbe wa Chadema naye anakubali hiyo taarifa? Basi hamna wajumbe wa maana!
 
Uendelee na Ujinga huo Tena ,Uchapwe siku zingine 10 ukija kurudi UCHAGUZI umeisha
 
We Ni mwanamke ila UNA mdomo mchafu ,unatukana ,unachonganisha watu mwaka huu hautaingia bungeni Haina msaada wowote
 
Hii ndiyo shida ya kuwapa wavuta bangi kazi ya kusimamia uchaguzi,hata maandiko matakatifu yanasema,;huwezi kumhukumu mtu bila kumsikiliza kwanza.
Kusikilizwa ni haki ya msingi ya mtu
 

Msigwa je?

Au Gwaji kuwa Ccm ni dhambi ila Msigwa kuwa Chadema ni thawabu?
Tatizo si kuwa CCM au CDM, au kuwa mchungaji, padre au sheikh. Tatizo ni kauli unazozitoa majukwaani kwa kutumia ulimi wako mwenyewe.

Hizi kauli ndio kila mmoja anatakiwa kuzijibu. Leo Gwajima kasema Uislam ni dini ya Majini na Katoliki ni dini ya Nabii wa uongo. Hili anatakiwa kujibu kama Gwajima na si kama CCM mbele ya Waislam na wakatoliki mamilioni anaotembea kuwaomba kura.....

Kwa kauli hii Kura yangu hapati hata siku moja, hata kwa kushikiwa mtutu wa bunduki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…