Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una ushahidi kwahiyo hata mjumbe wa Chadema naye anakubali hiyo taarifa? Basi hamna wajumbe wa maana!Unauhakika na hilo? Adhabu zinaandaliwa kabla ya kikao na matokeo hujulikana kabla ya kikao.
Gwajimaaliyesema maneno ya kukashfu uislam ni Halima au Gwajima?
Tatizo la Gwajiboy ni kula kondoo wake! Pia kuwaibia waumini wake; eti mchungaji ana magari mawili aina ya Hammer (sijui kama una idea ya bei yake?), private jet, etc., wakati waumini wake husalia kwenye uwazi wakipigwa na mvua na jua, huku wakiendelea "kumtolea Bwan"a, kwa kumneemesha Gwajiboy!
Tatizo si kuwa CCM au CDM, au kuwa mchungaji, padre au sheikh. Tatizo ni kauli unazozitoa majukwaani kwa kutumia ulimi wako mwenyewe.Msigwa je?
Au Gwaji kuwa Ccm ni dhambi ila Msigwa kuwa Chadema ni thawabu?