KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Idara hiyo inabidi CHADEMA waiangazie mwanga mkali.Mdee tuliambiwa amevunjika mkono na xray ikaletwa humu, ameshapona?
Huu sio wakati wa propaganda za aina hiyo. Wataharibu sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idara hiyo inabidi CHADEMA waiangazie mwanga mkali.Mdee tuliambiwa amevunjika mkono na xray ikaletwa humu, ameshapona?
Wewe dizaini zako ni akina AmbarutyEti hana cha kutulipa kwa upendo wetu kwako ...! NANI KAMWAMBIA TUNAMPENDA! Hakuna anayekupenda! Badala ya kutumikia wananchi unaenda kufanyavurugu magerezani?
Usiongelee habari ya ile x ray picture imeaibisha watu sana. Waliidownload kwenye mtandao alafu mkono ni wa mwanaume,aibu sana.Mdee tuliambiwa amevunjika mkono na xray ikaletwa humu, ameshapona?
Acheni hasira, kama wananchi wamemchoka acheni waseme.
Unavimbisha bichwa ili aje apasuke msamba,acha mambo ya ajabu.Mdee alitakiwa kuwa mkurya sio kwa ujasiri huo duh!
Pole mheshimiwa...Kaandika hivi kupitia mtandao wa twitter:
Niko HEWANI tena.... nimepata SIMU zangu USIKU HUU ...... hakuna NENO la Shukran ninaloweza kulisema....zaidi ya ASANTE!!!!!! kwa wema,ukarimu na upendo wenu!!! Sina cha kuwalipa. Niwahakikishie.....niko IMARA KULIKO JANA.
Ukimuumiza MTU unamuongezea ujasiri hadi sasa hakuna miamba ya cdm iliyokubali kuuza utu wake.Jamaa akilala juu ya jiwe kutwa kucha uwaza kuuwa upinzani kuliko kutatua shida za watz.Hakuna mwanadamu yeyeto duniani aliyefaulu kupambana Na watu akafaulu zaidi ya kuukimbiza upepoMdee alitakiwa kuwa mkurya sio kwa ujasiri huo duh!
Umewaamini hao wanaotumikia mshaharaEti hana cha kutulipa kwa upendo wetu kwako ...! NANI KAMWAMBIA TUNAMPENDA! Hakuna anayekupenda! Badala ya kutumikia wananchi unaenda kufanyavurugu magerezani?
Ukivunjika maisha yanasimama ?!Mdee tuliambiwa amevunjika mkono na xray ikaletwa humu, ameshapona?
Vurugu ipi ?!Eti hana cha kutulipa kwa upendo wetu kwako ...! NANI KAMWAMBIA TUNAMPENDA! Hakuna anayekupenda! Badala ya kutumikia wananchi unaenda kufanyavurugu magerezani?
Wana mungu wao anayewatuma kwenda kufanya fujo MagerezaniHivi kati ya CCM na CHADEMA, mungu anasikiliza dua za nani? Nauliza hivyo maana CHADEMA kutwa kucha wanajilinganisha na Yesu, mara Musa, mara wana waIsrail. Mara mungu hashindwi kitu! Lakini pia kutwa kucha madhila yanawapata CHADEMA!
Akili zako ni bure kabisa.Hivi kati ya CCM na CHADEMA, mungu anasikiliza dua za nani? Nauliza hivyo maana CHADEMA kutwa kucha wanajilinganisha na Yesu, mara Musa, mara wana waIsrail. Mara mungu hashindwi kitu! Lakini pia kutwa kucha madhila yanawapata CHADEMA!
Acheni hasira, kama wananchi wamemchoka acheni waseme.