Halima Mdee punguza ulaghai, unadanganyaje umma kuwa akaunti za benki za wabunge waliofungwa zilikuwa na kiwango chini ya Tsh. Milioni 1?

Umenena mkuu hawa wabunge wanapokea mamilioni lakini bado wanaomba masikini fedha zao kidogo. Huyo halima mdee anavaa shingoni gold yenye thamani ya mamilioni ya shilingi wakati huko kawe ameshindwa kusaidia wajasirimali .
Huyo kulia mbele ya press conference ni Crocodile Tears
Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.

Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.

Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.

ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.

Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.

Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye akaunti anayejua siri ya akaunti yake ndiyealiyesema hivyo, kama kalaghai mjibu kwa kuweka akaunti zao pamoja na kiasi kilichopo kwenye akaunti zao,hapo utakuwa umemaliza kazi.
 
Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.

Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.

Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.

ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.

Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.

Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!

Wewe nawe una sifa nyingi sana za kilaghai... Umeshindwa kutafuta vielelezo kutoka kwenye hizo account binafsi za wabunge unaowashambulia??
Mbona simple tu... Wao wamesema hivyo wanavyojua... Wewe jukumu lako lilikuwa ni kuja na vielelezo kuthibitisha kuwa wanachokisema sicho...!!
Dawa ya ulaghai ni uthibitisho wa ulaghai!!
 
Wajinga waliochanga. watu wanamahela hafu mnawachangia . Hata ivyo waliochanga wanahela sio walala hoi kama sisi wengine. Mana hata mimi ningekuwa The Don ningewachangia

Sent using Jamii Forums mobile app

Dunia yote imeshuhudia nguvu ya umma...
Hivi hamjiulizi kila mlifanyalo linakuwa na mwitikio hasi... Walifanyalo linafanikiwa...??
Hii imenikumbusha kuna kipindi hapo nyuma zilivuja taarifa kuwa Kayafa afya siyo timamu tena... Dunia nzima ilishuhudia mwitikio na dua za wengi zililenga nini...
Sihami Tanzania🇹🇿... #Tutaelewana🇹🇿 #Tutaeshimiana🇹🇿
 
Wewe mjinga kwanini usilete ukweli kwa kuweka balance iliyopo kwenye account yake
Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.

Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.

Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.

ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.

Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.

Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.

Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.

Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.

ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.

Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.

Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!
Wanachangiwa hela kwa makosa yao wenyewe ambayo yangeweza kuzuilika, wanaowachangia hawana akiba yoyote ya maana na wakikumbana na magonjwa makubwa hao wanaochangiwa hawatawapa hata senti tano zaidi ya kuwaambia ugua pole.

Hizi ndizo siasa za dunia hii, hao waheshimiwa mwishoni mwa bunge la awamu hii wanaingiziwa milioni 200 kila mmoja, na wanakuja mtaani kukikomba kile kile kidogo cha mtu mwenye pato duni.
 
Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.

Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.

Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.

ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.

Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.

Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!
Kimbelembele chenu! Waliwaambia muwachangie?
 
Dunia yote imeshuhudia nguvu ya umma...
Hivi hamjiulizi kila mlifanyalo linakuwa na mwitikio hasi... Walifanyalo linafanikiwa...??
Hii imenikumbusha kuna kipindi hapo nyuma zilivuja taarifa kuwa Kayafa afya siyo timamu tena... Dunia nzima ilishuhudia mwitikio na dua za wengi zililenga nini...
Sihami Tanzania[emoji1241]... #Tutaelewana[emoji1241] #Tutaeshimiana[emoji1241]
Me ni mzalendo ambaye sifungamani na upande wowote .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana katika tukio liliofanyika makao makuu ya CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdoe alikaririwa akitamka serikali imezifunga akaunti zote za benki za Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe kwa vile walitarajiwa yeye akiwa na ukwasi mkubwa wa pesa ataweza kulipa faini kwa wote, hivyo muafaka ni kuzifunga akaunti zake pamoja na M-PESA.

Kimsingi sina tatizo na ukwasi wa Mheshimiwa Mbowe, lakini kizungumkuti ni pale Mheshimiwa Halima Mdee alipotutangazia umma ya kuwa yeye binafsi na waheshimiwa wengine Bulaya, Esther Matiko, Mnyika, Msingwa na Heche ambao wote ni wabunge kwenye akaunti zao zina pesa chini ya shilingi milioni moja.

Kwa kifupi serikali ilijua waheshimiwa husika watashindwa kulipa faini na hatimaye kuishia magerezani hatahivyo wananchi wamefanikisha kutoa michango ya kuwalipia wao.

ULAGHAI wa Mheshimiwa Halima Mdee unakuja pale anapoomba michango ya pesa kutoka kwa walala hoi huku waheshimiwa wabunge wakiwa na pato kubwa wao wenyewe hata akaunti zao za benki na raslimali wanazomiliki zina thamani zaidi ya milioni 200 kwa kila mmoja.

Waheshimiwa wabunge wa CHADEMA msitumie umbumbumbu wa wananchi kuwaibia kidogo walichonacho ili kulipia faini zenu, wakati waheshimiwa mna ukwasi mkubwa na pia chama chenu kinapata ruzuku kubwa kila mwezi.

Wananchi wa Tanzania tuachane na michango ya kilaghai badala yake tuwahoji kwanini wao wenye kiasi kikubwa cha pesa leo hii wanalazimisha sisi walalahoi kuwachangia faini kwa wao ambao wana kipato kikubwa kuliko walalahoi!!!
akaunti zao zilifungiwa unadhani wangelipaje alafu hujalaZimishwa kuchanga acha ss tuwachangie
 
Kingine kesi imeenda miaka miwili je unajua kuna kulipia mwanasheria na majukumu mengine?
 
Back
Top Bottom