Halima Mdee: Sisi ni wawakilishi wa chama na hatukuja Bungeni kwa bahati. Nafasi zetu za Ubunge hazipo hatarini hata kiduchu

Wameapa mbele ya Siwa?

Vinginevyo siyo wabunge halali kwa mujibu wa katiba!
 
Lazima aseme hivyo na ndiyo sababu ya kumpigia kura zote za covid 19 Tulia
Wanajua atawalinda kama Ndugai
 
Kwani chama Chao kishawahi kukanusha kuwa kupitia hao wabunge 19, chama hakipati ruzuku toka serikalini?
Muulize msajili wa vyama kama aliishafanikiwa kupeleka hiyo ruzuku, baada ya CDM kuikataa.
 
VRUGJS7x_mini.jpg

Darmpya Blog

@darmpya_
· 17h
"Siamini kama nafasi zetu hapa bungeni ziko hatarini kwa sababu ya mabadiliko ya Spika,hatukuja hapa bungeni kwa bahati mbaya,sisi ni wabunge,tumeapa,ni wawakilishi wa chama, hivyo tunaendelea na kazi zetu kama kawaida"@halimamdee #BUNGENILEO
View attachment 2105323
ahsante Kamanda Halima Mdee.
achana kabisa na maneno ya wafuasi wa Gaidi.
Nyie chapeni kazi kwa masilahi ya watanzania wote.
 
Halima Mdee baada ya uchaguzi wa Spika Mpya, amesema kuwa nafasi za wabunge 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA ziko salama pamoja na mabadiliko ya Spika.

"Siamini kama nafasi zetu hapa bungeni ziko hatarini kwa sababu ya mabadiliko ya Spika, hatukuja hapa bungeni kwa bahati mbaya, sisi ni wabunge, tumeapa ni wawakilishi wa chama, hivyo tunaendelea na kazi zetu kama kawaida"

Pia soma > Nasubiria kuona kama Spika Tulia ataendelea kuwabeba wabunge 19 wasio na chama Bungeni
Hawa Watanganyika hela kwao ndio Dini yao., unaweza kumuendesha mbongo kwa remote kama vile televisheni ukishamuahidi na kumpa hela hela ata elimu yake isiwe chochote., ni hatari sana na ni watu wanafiki wa kiwango cha juu zaidi duniani
 
Halima Mdee baada ya uchaguzi wa Spika Mpya, amesema kuwa nafasi za wabunge 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA ziko salama pamoja na mabadiliko ya Spika.

"Siamini kama nafasi zetu hapa bungeni ziko hatarini kwa sababu ya mabadiliko ya Spika, hatukuja hapa bungeni kwa bahati mbaya, sisi ni wabunge, tumeapa ni wawakilishi wa chama, hivyo tunaendelea na kazi zetu kama kawaida"

Pia soma > Nasubiria kuona kama Spika Tulia ataendelea kuwabeba wabunge 19 wasio na chama Bungeni
Dawa ya homa kali ni sindano hata kama inauma!
 
Ila CCM lakini dah, kuna wakati unapata hasira sana ukiwaza siasa zao unafika wakati unaamua ufanye yako tu.

Unaweza kujikuta unapata hasira unaamua kuvaa mabomu uwalipue wote .
hapo shida ilianzia chadema baada ya mbowe na wenzake kushindania kuweka mademu zaokwenye nafasi hizo
 
Ni ngumu sana kuamini mambo ya CDM hasa inapofika issue ya hela...

Hivi kwenye hii issue ya hawa Covid chama hakiwezi kufungua kesi dhidi ya bunge au jamhuri...Chama hakiwezi kuweka hadharani record ya kila mwezi ya kipato na matumizi kuonyesha chama hakiko involved....
 
Kikubwa nchi inafunguliwa na unapigwa mwingi so, vijana angalieni fursa mtengeneze fedha, achaneni na hao kina covid19 na spika tutafute pesa ili tununue bundle la kushinda JF [emoji23]!.
Kwa sasa dsm imeshafunguliwa vya kutosha ndiyo maana sasa hivi watu tunakula milo 2 badala ya 3.
 
Kheee!! Sasa mbona hataji hicho cham? Au chama wa Simba!
Halima Mdee baada ya uchaguzi wa Spika Mpya, amesema kuwa nafasi za wabunge 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA ziko salama pamoja na mabadiliko ya Spika.

"Siamini kama nafasi zetu hapa bungeni ziko hatarini kwa sababu ya mabadiliko ya Spika, hatukuja hapa bungeni kwa bahati mbaya, sisi ni wabunge, tumeapa ni wawakilishi wa chama, hivyo tunaendelea na kazi zetu kama kawaida"

Pia soma > Nasubiria kuona kama Spika Tulia ataendelea kuwabeba wabunge 19 wasio na chama Bungeni

IMG_20220128_174009.jpg
 
CDM wanahusishwaje hapa? Halima hajataja CDM amesema wao ni wawakilishi wa chama yaan chama wa Simba!
 
Chama cha JOBO hakipo Mdee, sasa hivi fanya ushostito na Tulia, vinginevyo wewe na wenzako kwishaa.
 
Halima Mdee baada ya uchaguzi wa Spika Mpya, amesema kuwa nafasi za wabunge 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA ziko salama pamoja na mabadiliko ya Spika.

"Siamini kama nafasi zetu hapa bungeni ziko hatarini kwa sababu ya mabadiliko ya Spika, hatukuja hapa bungeni kwa bahati mbaya, sisi ni wabunge, tumeapa ni wawakilishi wa chama, hivyo tunaendelea na kazi zetu kama kawaida"

Pia soma > Nasubiria kuona kama Spika Tulia ataendelea kuwabeba wabunge 19 wasio na chama Bungeni
Sasa anawakilisha chama gani??

Haoni huruma kutafuana mshahara wa milioni 18 ubaotokana na kodi za walala hoi
 
Back
Top Bottom