ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Siku hizi hawaitaji kabisa CHADEMAAtutajie Chama anachowakilisha! Maana mpaka leo kule CHADEMA hawajaona rufaa yao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi hawaitaji kabisa CHADEMAAtutajie Chama anachowakilisha! Maana mpaka leo kule CHADEMA hawajaona rufaa yao!
Muulize msajili wa vyama kama aliishafanikiwa kupeleka hiyo ruzuku, baada ya CDM kuikataa.Kwani chama Chao kishawahi kukanusha kuwa kupitia hao wabunge 19, chama hakipati ruzuku toka serikalini?
Kwa mjibu wa katiba zote- JMT na ya CHADEMA wale 19 ni wabunge halali.Wameapa mbele ya Siwa?
Vinginevyo siyo wabunge halali kwa mujibu wa katiba!
ahsante Kamanda Halima Mdee.![]()
Darmpya Blog
@darmpya_
· 17h
"Siamini kama nafasi zetu hapa bungeni ziko hatarini kwa sababu ya mabadiliko ya Spika,hatukuja hapa bungeni kwa bahati mbaya,sisi ni wabunge,tumeapa,ni wawakilishi wa chama, hivyo tunaendelea na kazi zetu kama kawaida"@halimamdee #BUNGENILEO
View attachment 2105323
Hawa Watanganyika hela kwao ndio Dini yao., unaweza kumuendesha mbongo kwa remote kama vile televisheni ukishamuahidi na kumpa hela hela ata elimu yake isiwe chochote., ni hatari sana na ni watu wanafiki wa kiwango cha juu zaidi dunianiHalima Mdee baada ya uchaguzi wa Spika Mpya, amesema kuwa nafasi za wabunge 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA ziko salama pamoja na mabadiliko ya Spika.
"Siamini kama nafasi zetu hapa bungeni ziko hatarini kwa sababu ya mabadiliko ya Spika, hatukuja hapa bungeni kwa bahati mbaya, sisi ni wabunge, tumeapa ni wawakilishi wa chama, hivyo tunaendelea na kazi zetu kama kawaida"
Pia soma > Nasubiria kuona kama Spika Tulia ataendelea kuwabeba wabunge 19 wasio na chama Bungeni
Dawa ya homa kali ni sindano hata kama inauma!Halima Mdee baada ya uchaguzi wa Spika Mpya, amesema kuwa nafasi za wabunge 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA ziko salama pamoja na mabadiliko ya Spika.
"Siamini kama nafasi zetu hapa bungeni ziko hatarini kwa sababu ya mabadiliko ya Spika, hatukuja hapa bungeni kwa bahati mbaya, sisi ni wabunge, tumeapa ni wawakilishi wa chama, hivyo tunaendelea na kazi zetu kama kawaida"
Pia soma > Nasubiria kuona kama Spika Tulia ataendelea kuwabeba wabunge 19 wasio na chama Bungeni
hapo shida ilianzia chadema baada ya mbowe na wenzake kushindania kuweka mademu zaokwenye nafasi hizoIla CCM lakini dah, kuna wakati unapata hasira sana ukiwaza siasa zao unafika wakati unaamua ufanye yako tu.
Unaweza kujikuta unapata hasira unaamua kuvaa mabomu uwalipue wote .
Sasa wanatetemeka nini?Kwa mjibu wa katiba zote- JMT na ya CHADEMA wale 19 ni wabunge halali.
Mkuu ukisikia mbwa anabweka basi jua kuna kitu amekionaNini kimemsibu hadi kuandika hayo! Ana wasiwasi wa ubunge wao!!!
Wewe mwenyewe ni covidWanajuana na Wenye Saccos Yao hao 'Walicheza dili Vizuri' ...!
tumebaki Sie Makabwela Kutwa Kuwachafua kwa Kuwaita Covid 19... Tuna dhambi Sie.!
Kwa sasa dsm imeshafunguliwa vya kutosha ndiyo maana sasa hivi watu tunakula milo 2 badala ya 3.Kikubwa nchi inafunguliwa na unapigwa mwingi so, vijana angalieni fursa mtengeneze fedha, achaneni na hao kina covid19 na spika tutafute pesa ili tununue bundle la kushinda JF [emoji23]!.
Halima Mdee baada ya uchaguzi wa Spika Mpya, amesema kuwa nafasi za wabunge 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA ziko salama pamoja na mabadiliko ya Spika.
"Siamini kama nafasi zetu hapa bungeni ziko hatarini kwa sababu ya mabadiliko ya Spika, hatukuja hapa bungeni kwa bahati mbaya, sisi ni wabunge, tumeapa ni wawakilishi wa chama, hivyo tunaendelea na kazi zetu kama kawaida"
Pia soma > Nasubiria kuona kama Spika Tulia ataendelea kuwabeba wabunge 19 wasio na chama Bungeni
Vifungu?Kwa mjibu wa katiba zote- JMT na ya CHADEMA wale 19 ni wabunge halali.
CDM wanahusishwaje hapa? Halima hajataja CDM amesema wao ni wawakilishi wa chama yaan chama wa Simba!Halima Mdee baada ya uchaguzi wa Spika Mpya, amesema kuwa nafasi za wabunge 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA ziko salama pamoja na mabadiliko ya Spika.
"Siamini kama nafasi zetu hapa bungeni ziko hatarini kwa sababu ya mabadiliko ya Spika, hatukuja hapa bungeni kwa bahati mbaya, sisi ni wabunge, tumeapa ni wawakilishi wa chama, hivyo tunaendelea na kazi zetu kama kawaida"
Pia soma > Nasubiria kuona kama Spika Tulia ataendelea kuwabeba wabunge 19 wasio na chama Bungeni
Sasa anawakilisha chama gani??Halima Mdee baada ya uchaguzi wa Spika Mpya, amesema kuwa nafasi za wabunge 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA ziko salama pamoja na mabadiliko ya Spika.
"Siamini kama nafasi zetu hapa bungeni ziko hatarini kwa sababu ya mabadiliko ya Spika, hatukuja hapa bungeni kwa bahati mbaya, sisi ni wabunge, tumeapa ni wawakilishi wa chama, hivyo tunaendelea na kazi zetu kama kawaida"
Pia soma > Nasubiria kuona kama Spika Tulia ataendelea kuwabeba wabunge 19 wasio na chama Bungeni
Hahaha..kesho waende mahakamani kufuatilia kesi ya Mbowe.