Halima Mdee: Sisi ni wawakilishi wa chama na hatukuja Bungeni kwa bahati. Nafasi zetu za Ubunge hazipo hatarini hata kiduchu

Halima Mdee: Sisi ni wawakilishi wa chama na hatukuja Bungeni kwa bahati. Nafasi zetu za Ubunge hazipo hatarini hata kiduchu

Hadi nchi ipate watu wenye ufahamu ndiyo mtaelewa maana ya vya vingi.
 
Vipi Hilo bakuli mnalotembeza Sasa umechangia ili upate maumivu na sababu ya kufuatilia kesi ya ugaidi?
Mh Kibajaji unatuaibisha buana,
Umeambiwa kinachomuumiza ni kodi hajasema bakuli linamuumiza soma vzr.
 
Mbona sijawaona kwenye sherehe za CCM kule Mara?
 
Back
Top Bottom