Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh Kibajaji unatuaibisha buana,Vipi Hilo bakuli mnalotembeza Sasa umechangia ili upate maumivu na sababu ya kufuatilia kesi ya ugaidi?
Yaani wewe😂🤣😂🤣Mambo yameenda kasi sana kwa mzee wetu Halima.
Ama kwa hakika, penye udhia penyeza rupia
🤣🤣Yaani wewe😂🤣😂🤣
Hivi mdee yupo chama gani?[emoji1787][emoji1787]
Chama chake ni hiki....angalia kuanzia dakika ya 5Hivi mdee yupo chama gani?
Chama chake ni hiki....angalia kuanzia dakika ya 5