Halima Mdee walau alipigiwa kura japo hazikutosha lakini Nape Nnauye alichaguliwa na nani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nape Nnauye toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.

Utamnyoosheaje kidole Halima Mdee ilhali na wewe uliingia bungeni kwa utaratibu huo huo wa viti maalumu vya " Kinyemela"?

Nawatakia Dominica yenye baraka!

Ramadhan Kareem.
 
johnthebaptist mpinzani akiibiwa kura na CCM au CCM wakichapisha kura zao fake kisha mpinzani akashindwa uchaguzi,huwa mnasema kuwa kura hazikutosha?
709081.jpg
12460.jpg
098765.jpg
 
Siasa ni zengwe tu

Ukiweza kupiga zengwe siasa unatoboa

Sasa haka kamjadala hakana afya kwa siasa za uchaguzi wa 2020

Ule uligubikwa na zengwe
 
Kabisa huyu Dubwana Nnape.

Ni bora akafunga domo lake.

La sivyo aanze yeye kuacha posho ya ubunge..
 
Nani kakwambia eti Kura za halima hazikutosha! We unaishi tanzania kweli! Wabunge wa ccm walitangazwa kwa nguvu whether imemshinda hujashinda ni order kitoka kwa jpm kwamba " nikuajiri nikupe mafuta ya gari, posho na mshahara halafu utangaze mpinani? Mbagosha!

Siku nyingine tumia akili mkuu hakuna ccm aliyeshinda wote walitangazwa tu ndo Mana tukaamua kumpa sumu ili tumtangulizw kwa mungu haraka Mana nchi ilikuwa imeoza chini yake. Subiri uone 2025 Kama ccm Kuna mbunge atayeshinda. Labda yule wa mbagala chaulembo kwa sababu mbagala wanaishi darasa la saba
 
Kura fake mchape wenyewe, mziweke kwenye mabegi wenyewe, mpige video kuhusu kura fake, msambaze video hizo wenyewe, na mwishowe mzichome Moto mnazoziita ni kura fake, halafu baadaye mtangaze wenyewe kuwa uchaguzi haukuwa eti huru na haki
Kuchapisha kura fake na kutamba nazo mitaani tena kwenye vituo vya kupigia kura tena kwenye siku ya kupiga kura ni very serious crime,ni kosa la jinai ambalo ni serious sana!Sasa kama ni Halima alichapisha kura fake kwa nini hajakamatwa na polisi na kushtakiwa kwa kutenda kosa hilo ambalo ni very serious crime?
 
Ukimuona kichaa anafanya hayo utamkamata? Mtu anafanya viroja ili akamatwe lakini hakukamatwa lakini analalamika mbona hamnikamati....

Ni kutumia akili tu...
 
Halima ni kichaa?Kuna sheria inaruhusu kichaa kugombea ubunge?Ni sheria ipi inasema kuwa kama mtu atafanya viroja ambavyo vinasababisha serious crime asishitakiwe?
 
Nape Nnauye toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.

Utamnyoosheaje kidole Halima Mdee ilhali na wewe uliingia bungeni kwa utaratibu huo huo wa viti maalumu vya " Kinyemela"?

Nawatakia Dominica yenye baraka!

Ramadhan Kareem.
Bwasheee baaada ya mungu kushughulika na mkuu was malaika mnaanza kusutana ninyi malaika wa jiwe?
Aliyemchagua jiwe ndie aliyemchagua mdee
 
Mimi halima simlaumu hata kidogooo.
Walioharibu uchaguzi mnawajua
 
Nape Nnauye toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.

Utamnyoosheaje kidole Halima Mdee ilhali na wewe uliingia bungeni kwa utaratibu huo huo wa viti maalumu vya " Kinyemela"?

Nawatakia Dominica yenye baraka!

Ramadhan Kareem.
Alichaguliwa na ded wa jimbo la mtama
 
Kura fake mchape wenyewe, mziweke kwenye mabegi wenyewe, mpige video kuhusu kura fake, msambaze video hizo wenyewe, na mwishowe mzichome Moto mnazoziita ni kura fake, halafu baadaye mtangaze wenyewe kuwa uchaguzi haukuwa eti huru na haki
Mbeleko Fc
 
Nape Nnauye toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.

Utamnyoosheaje kidole Halima Mdee ilhali na wewe uliingia bungeni kwa utaratibu huo huo wa viti maalumu vya " Kinyemela"?

Nawatakia Dominica yenye baraka!

Ramadhan Kareem.
Umaneni tu.
FB_IMG_1616545580714.jpg
 
Back
Top Bottom