Halima Mdee walau alipigiwa kura japo hazikutosha lakini Nape Nnauye alichaguliwa na nani?

Kura fake mchape wenyewe, mziweke kwenye mabegi wenyewe, mpige video kuhusu kura fake, msambaze video hizo wenyewe, na mwishowe mzichome Moto mnazoziita ni kura fake, halafu baadaye mtangaze wenyewe kuwa uchaguzi haukuwa eti huru na haki
Mmmmmmh mpinzani akutwe na kura fake kipindi cha Magu atakuwepo mtaani kweli?.
 
Kura fake mchape wenyewe, mziweke kwenye mabegi wenyewe, mpige video kuhusu kura fake, msambaze video hizo wenyewe, na mwishowe mzichome Moto mnazoziita ni kura fake, halafu baadaye mtangaze wenyewe kuwa uchaguzi haukuwa eti huru na haki

Uza ubongo huo, enzi za siasa za udhalimu chini ya dhalimu zimeshapita. Sasa hivi tafuta kazi ya halali, ile ya kuteka na kuua wapinzani haipo tena maana dhalimu yuko motoni saa hii.
 
Nape Nnauye toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.

Utamnyoosheaje kidole Halima Mdee ilhali na wewe uliingia bungeni kwa utaratibu huo huo wa viti maalumu vya " Kinyemela"?

Nawatakia Dominica yenye baraka!

Ramadhan Kareem.
Wapendwa yafaa tumsaidie Nape,

Ni dhahiri kuwa amechoshwa na mateso ya dhulma na uchawi aliowahi kushiriki, kushirikishwa na kuufanya.
Yafaa akamilishe kuweka hadharani madhambi yote yaliyo moyoni mwake.
Kisha aongozwe kwenye sala ya toba, ili ATUBU na kuachana kabisa na dhambi.
Mungu ni mwema, atamsamehe na kumpokea ili awe kiumbe kipya.

Wapendwa pia tusiache, tusichoke kuwasaidia na wengine wote waliopita kwenye njia hizo na sasa wanalemewa vivyo na mizigo ya dhambi, ili NAO wakapumzishwe tuweze kulisafisha taifa letu

EE MUNGU TUSAIDIE
AMEN
 
Kura fake mchape wenyewe, mziweke kwenye mabegi wenyewe, mpige video kuhusu kura fake, msambaze video hizo wenyewe, na mwishowe mzichome Moto mnazoziita ni kura fake, halafu baadaye mtangaze wenyewe kuwa uchaguzi haukuwa eti huru na haki
Wewe jamaa huijui CCM wewe!

Siku ukipata nafasi ya kuwa angalau karani mwongozaji wa wapiga kura kwenye kituo kimoja hata kama ni kijijini, au wakala wa chama chochote kwenye chumba cha kupigia kura ndo utaelewa kwamba Tz huwa hatufanyi uchaguzi.
 
Nape Nnauye toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.

Utamnyoosheaje kidole Halima Mdee ilhali na wewe uliingia bungeni kwa utaratibu huo huo wa viti maalumu vya " Kinyemela"?

Nawatakia Dominica yenye baraka!

Ramadhan Kareem.
Huna akili jamaa yangu bora ukae kimya tu.
 
Nape Nnauye toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.

Utamnyoosheaje kidole Halima Mdee ilhali na wewe uliingia bungeni kwa utaratibu huo huo wa viti maalumu vya " Kinyemela"?

Nawatakia Dominica yenye baraka!

Ramadhan Kareem.
John umeanza kuzeeka ndio ubongo unafunguka
 
Wewe jamaa huijui CCM wewe!

Siku ukipata nafasi ya kuwa angalau karani mwongozaji wa wapiga kura kwenye kituo kimoja hata kama ni kijijini, au wakala wa chama chochote kwenye chumba cha kupigia kura ndo utaelewa kwamba Tz huwa hatufanyi uchaguzi.
Duh...tangu mwaka 2000 nimekuwa nikihusika na uchaguzi
 
Nape Nnauye toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.

Utamnyoosheaje kidole Halima Mdee ilhali na wewe uliingia bungeni kwa utaratibu huo huo wa viti maalumu vya " Kinyemela"?

Nawatakia Dominica yenye baraka!

Ramadhan Kareem.
giphy.gif
 
Nape alichaguliwa na Jiwe

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Nape anapata wapi ujasiri leo kwa watanzania wakati ni mtu aliyetamba na kauli ya "GOLI LA MKONO" kipindi cha uchaguzi ule mkuu🇹🇿 ⁉️

Back
Top Bottom