johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kura fake mchape wenyewe, mziweke kwenye mabegi wenyewe, mpige video kuhusu kura fake, msambaze video hizo wenyewe, na mwishowe mzichome Moto mnazoziita ni kura fake, halafu baadaye mtangaze wenyewe kuwa uchaguzi haukuwa eti huru na hakijohnthebaptist mpinzani akiibiwa kura na CCM au CCM wakichapisha kura zao fake kisha mpinzani akashindwa uchaguzi,huwa mnasema kuwa kura hazikutosha?
View attachment 1763177View attachment 1763178View attachment 1763179
Kuchapisha kura fake na kutamba nazo mitaani tena kwenye vituo vya kupigia kura tena kwenye siku ya kupiga kura ni very serious crime,ni kosa la jinai ambalo ni serious sana!Sasa kama ni Halima alichapisha kura fake kwa nini hajakamatwa na polisi na kushtakiwa kwa kutenda kosa hilo ambalo ni very serious crime?Kura fake mchape wenyewe, mziweke kwenye mabegi wenyewe, mpige video kuhusu kura fake, msambaze video hizo wenyewe, na mwishowe mzichome Moto mnazoziita ni kura fake, halafu baadaye mtangaze wenyewe kuwa uchaguzi haukuwa eti huru na haki
Ukimuona kichaa anafanya hayo utamkamata? Mtu anafanya viroja ili akamatwe lakini hakukamatwa lakini analalamika mbona hamnikamati....Kuchapisha kura fake na kutamba nazo mitaani tena kwenye vituo vya kupigia kura tena kwenye siku ya kupiga kura ni very serious crime,ni kosa la jinai ambalo ni serious sana!Sasa kama ni Halima alichapisha kura fake kwa nini hajakamatwa na polisi na kushtakiwa kwa kutenda kosa hilo ambalo ni very serious crime?
Halima ni kichaa?Kuna sheria inaruhusu kichaa kugombea ubunge?Ni sheria ipi inasema kuwa kama mtu atafanya viroja ambavyo vinasababisha serious crime asishitakiwe?Ukimuona kichaa anafanya hayo utamkamata? Mtu anafanya viroja ili akamatwe lakini hakukamatwa lakini analalamika mbona hamnikamati....
Ni kutumia akili tu...
Bwasheee baaada ya mungu kushughulika na mkuu was malaika mnaanza kusutana ninyi malaika wa jiwe?Nape Nnauye toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.
Utamnyoosheaje kidole Halima Mdee ilhali na wewe uliingia bungeni kwa utaratibu huo huo wa viti maalumu vya " Kinyemela"?
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Ramadhan Kareem.
Alichaguliwa na ded wa jimbo la mtamaNape Nnauye toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.
Utamnyoosheaje kidole Halima Mdee ilhali na wewe uliingia bungeni kwa utaratibu huo huo wa viti maalumu vya " Kinyemela"?
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Ramadhan Kareem.
Nape anajaribu kuukata mkono unaomlisha.
Mbeleko FcKura fake mchape wenyewe, mziweke kwenye mabegi wenyewe, mpige video kuhusu kura fake, msambaze video hizo wenyewe, na mwishowe mzichome Moto mnazoziita ni kura fake, halafu baadaye mtangaze wenyewe kuwa uchaguzi haukuwa eti huru na haki
Umaneni tu.Nape Nnauye toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.
Utamnyoosheaje kidole Halima Mdee ilhali na wewe uliingia bungeni kwa utaratibu huo huo wa viti maalumu vya " Kinyemela"?
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Ramadhan Kareem.