Halima Mdee: Walichofanya wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ni Uhuni! Mimi ni CHADEMA, nitaendelea kuwa CHADEMA

Kwa mujini Wa katiba ya chadema ukienda mahakamani kukishitaki chama kwa maamuzi kiliyofanya unapoteza wanachama wako directly. Zito alipoteza wanachama directly
Sasa Mdee akitaka uanachama tena wa cdm afate utaratibu upi!!?
ama ndo amefukuzwa uanachama duniani na mbinguni!
 
Tunasubiri sasa vita ya Mbowe na Halima mahakamani. swali la msingi jee cdm imekomaa kiasi cha kuaminiwa kupewa nchi au bado?
 
Alitaka kuwakomoa vipi? Wameachiwa mwaka mzima wa kuwa wabunge au kusahihisha makosa yao. Wao hawakutaka kuachia ubunge. Mbowe kawakomoa kivipi? Unadhani wanachama wangelielewa Baraza lao kama lingeamua kuwasamehe na kuwaacha waendelee na ubunge wao? Kupanga ni kuchagua na wamevuna walichopanda.
Sasa wako huru kwenda Mahakamani, kujiunga na chama kingine, kustaafu au kujirekebisha. Wakiweka kiburi pembeni wanaweza kuomba msamaha na kuomba uanachama upya.
Ila kwa vile Tulia hawapendi basi nafasi zao zitatangazwa kuwa wazi fasta.

Amandla...
 
Hii ngoma ni ngumu sn
 
Hata ongea yake tu imekaa kihuni. Aliyemharibu Mdee ni huyo Bulaya.
Ninachowasharuri wakubaliane na kufukuzwa kwao, watoke bungeni then warudi kuomba msamaha wakiwa hawana nafasi yoyote.
 
Tunasubiri sasa vita ya Mbowe na Halima mahakamani. swali la msingi jee cdm imekomaa kiasi cha kuaminiwa kupewa nchi au bado?

Halima atafute chama kingine, mahakamani atapoteza vingi, kwa Sasa sio mwanachama ataenda kupambana Kama raia wa kawaida kwa ajili gani?. Akubali ameshindwa na Hana influence Tena CHADEMA. Atafute platform nyingine. Kuendeleza mapambano ambayo huyawezi ni kupoteza muda.
 
Hata ongea yake tu imekaa kihuni. Aliyemharibu Mdee ni huyo Bulaya.
Ninachowasharuri wakubaliane na kufukuzwa kwao, watoke bungeni then warudi kuomba msamaha wakiwa hawana nafasi yoyote.
Mnamuonea Bulaya. Halima aliamini yeye ni zaidi ya chama chake. Aliamini Bawacha itakuwa upande wake akatingisha kiberiti. Matokeo ndio haya. Bulaya hana makosa.

Amandla....
 
Wanaweza kwenda Mahakamani wakaomba order ya status quo pending main case kama watakuwa wamefile na wamebaini katiba ya CDM haikufuatwa kisawasawa wakati wanatimiliwa

Hayo wataomba wakiwa sio wanachama maana maamuzi ya kamati kuu bado yanasimama.
 
Wakienda mahakamani hawatalipwa tena na bunge, mpaka labda washinde kesi ndio watalipwa malimbikizo yao ya mishahara! ni sawa na kufukuzwa kazi, ukipinga mahakamani hulipwi mshahara mpaka ushinde kesi....
Siyo kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…