Halima Mdee: Walichofanya wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ni Uhuni! Mimi ni CHADEMA, nitaendelea kuwa CHADEMA

Wakienda mahakamani hawatalipwa tena na bunge, mpaka labda washinde kesi ndio watalipwa malimbikizo yao ya mishahara! ni sawa na kufukuzwa kazi, ukipinga mahakamani hulipwi mshahara mpaka ushinde kesi....
ZZK Mbona aliendelea kulipwa hadi mwisho.
 
Mkuu ukomo wa Mwenyekiti ndani ya katiba ya Chadema uko vipi?
Hao wote wachumia tumbo!
 
Wakubali,waombe radhi,wafikiriwe kurudishiwa uanachama wakijenge chama towards 2025
 
Haipendezi wanawake wenzetu kukosa mkate.

Tamaa iliwatawala, laiti halima angebaki uraiani leo angeteuliwa.
 
Wasaliti niliowashuhudia duniani mubashara baada ya kusoma maandiko ya usaliti wa YuDA ISKARIOTI na vipigo wanavyopata mubashara hapahapa duniani:-
(1) Paulo Makonda- aliisaliti kambi ya kina Membe na Riziwani Kikwete baada kura za maoni CCM 2015,akauza mikakati ya Membe Kwa JIWE.
(2) Halima Mdeena geñge la wenzake mliwasaliti watanzania wakati mnajua alichotufanyia JIWE kwenye uchaguzi mkuu 2020.
(3) HAJI MANARA baada ya kuisaliti SIMBA hakuna mtu anamsikiliza Tena huyu
(4) HAMPHREY POLE POLE aliwasiliti watanzania kukataa katiba mpya enzi za JIWE Leo amewasaliti SUKUMA GANG Kwa kukubali uteuzi wa HANGAYA,
 
akasagane tu sasa na shogaake mana hakuna jinsi
 
Mpuuzi kabisa wawafuate waliowadanganya akili kama za puc

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Wakienda mahakamani hawatalipwa tena na bunge, mpaka labda washinde kesi ndio watalipwa malimbikizo yao ya mishahara! ni sawa na kufukuzwa kazi, ukipinga mahakamani hulipwi mshahara mpaka ushinde kesi....
Naona leo akili zimekurudia
 
Mkuu! Mshauri aje huku Umoja Party tusaidiane kukuza Chama, afanye kama ZZK, huko ameshatemwa anang'ang'ania kitu gani? Kabla hujafuta hiyo namba yake nitumie Mimi ili niendelee kumshawishi.

Ila nao walizidi sana kuwa na mbwembwe, yaani Watu mnakwenda kusikiliza Rufaa kwa mbwembwe vile! Wangeigiza tu hata unyenyekevu basi.
 
Hapo ni aidha aende mahakamani Ili awe mwanachama wa mahakama au aombe radhi kama kina Membe na Kinana warudishwe..

Ila hivyo vyama vyenu ni vya kijinga Sana,huu utopolo wa kufukuzana ni ujinga usio na maana..
 
Hata Dr Slaa anawajua kuwa CHADEMA ni wahuni! Haiwezekani Lowasa mliyemtukana sana, mkamkaribisha awe boss wenu! Ni wahuni,
Maneno ya Mdee!
 
Sasa tunasubiria majina ya hao 19 wa mbadala hapo Chadema wasije wakaleta kutafutiana ulaji
Kwa hiyo kikatiba lazima wateuliwe wengine ili kuleta uwakilishi huko bungeni? Aisee dunia hii, akinyang'anywa huyu anapewa yule. Pole kwao na hongera kwa wengine wanaokuja.
 
ajabu mmeshindwa kabisa kutaja huo uhuni
 
Kina Halima watafanya delaying techniques, wataenda Mahakamani.

So bado wana nafasi za kula hela ya nchi kidogo.

Unless otherwise iwe ni makubaliano kati ya Mbowe na Samia kuwa watimue na bungeni tuwatimue mlete wengine.
Hao hata bungeni hawatocheleweshwa
 
Confirmed.

Chadema imejaa wahuni.

Wahuni party hoyee.
Kwahiyo Halima na wenzake 18 ( na wale wote mliowanunua enzi za biiashara ya utumwa iliyoasisiwa na slow slow na bashiru) nao ni wahuni waliozidiwa ujanja na wahuni wenzao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…