Amesema mkijipitisha pitisha kama minofu lazima mtatafunwa tuu........
Way to go gal.... I admire her drive.
BTW Sio wote wanaotafunwa wana option ambazo zote zaweza lipa both ways....
Unamaanisha nini unaposema kutafunwa?
Way to go gal.... I admire her drive.
BTW Sio wote wanaotafunwa wana option ambazo zote zaweza lipa both ways....
Nimeona nitumie neno lililotumika kwenye post ya EMT, Nikiamini kua umeelewa kua ni kungonoshwa.
Haya sio maneno yangu bali ni ya mbunge wa Kawe Halima Mdee kuwa wasichana msitegemee rushwa ya ngono kutimiza ndoto zenu za maisha. Mdee amewataka wasichana kujiamini na kutokutemea kutoa rushwa ya ngono ndipo watimize ndoto zao za kimaisha. Amesema mkijipitisha pitisha kama minofu lazima mtatafunwa tuu. Mdee aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na Wanafunzi wa Chuo cha Mwenge wakati akizindua Tawi la Chadema la chuoni hapo
Na sio kwamba wakitafunwa wanapewa option zote wanazotaka. Aibu sana maana mtu akizoea kutumia njia hiyo lazima aende kuishi mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa chama chetu Tanzania. Sponge ya wakubwa!
AshaDii wewe unapenda ngono?
Bwana kufanikiwa katika maisha kila mtu anatricky zake.
Yeye kama hiyo hawezi wengine wanaweza na wala hawajutii.
Survival for the fittest!
huh??!! What has my like of ngono got to do with this? Ngabu!!
Bwana kufanikiwa katika maisha kila mtu anatricky zake.
Yeye kama hiyo hawezi wengine wanaweza na wala hawajutii.
Survival for the fittest!