EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,325
Haya sio maneno yangu bali ni ya mbunge wa Kawe Halima Mdee kuwa wasichana msitegemee rushwa ya ngono kutimiza ndoto zenu za maisha. Mdee amewataka wasichana kujiamini na kutokutemea kutoa rushwa ya ngono ndipo watimize ndoto zao za kimaisha. Amesema mkijipitisha pitisha kama minofu lazima mtatafunwa tuu. Mdee aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na Wanafunzi wa Chuo cha Mwenge wakati akizindua Tawi la Chadema la chuoni hapo