Halima Mdee: Wasichana msitegemee Rushwa ya Ngono kutimiza ndoto zenu za Maisha

Halima Mdee: Wasichana msitegemee Rushwa ya Ngono kutimiza ndoto zenu za Maisha

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,325
Haya sio maneno yangu bali ni ya mbunge wa Kawe Halima Mdee kuwa wasichana msitegemee rushwa ya ngono kutimiza ndoto zenu za maisha. Mdee amewataka wasichana kujiamini na kutokutemea kutoa rushwa ya ngono ndipo watimize ndoto zao za kimaisha. Amesema mkijipitisha pitisha kama minofu lazima mtatafunwa tuu. Mdee aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na Wanafunzi wa Chuo cha Mwenge wakati akizindua Tawi la Chadema la chuoni hapo
 
Another Mlimani alumnus. Big up.

But using sex to get ahead in life is too demeaning and unconscionable.
 
Wamesikia sasaaa?

Au ndio wakitoka hapo wanaenda kufanyia kazi 'A' zao usiku. . . .?
 
The point. Lakini si moja ya fursa za mwanamke, shida iko wapi?
 
Bwana kufanikiwa katika maisha kila mtu anatricky zake.
Yeye kama hiyo hawezi wengine wanaweza na wala hawajutii.

Survival for the fittest!
 
Way to go gal.... I admire her drive.

BTW Sio wote wanaotafunwa wana option ambazo zote zaweza lipa both ways....

Na sio kwamba wakitafunwa wanapewa option zote wanazotaka. Aibu sana maana mtu akizoea kutumia njia hiyo lazima aende kuishi mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa chama chetu Tanzania. Sponge ya wakubwa!
 
Haya sio maneno yangu bali ni ya mbunge wa Kawe Halima Mdee kuwa wasichana msitegemee rushwa ya ngono kutimiza ndoto zenu za maisha. Mdee amewataka wasichana kujiamini na kutokutemea kutoa rushwa ya ngono ndipo watimize ndoto zao za kimaisha. Amesema mkijipitisha pitisha kama minofu lazima mtatafunwa tuu. Mdee aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na Wanafunzi wa Chuo cha Mwenge wakati akizindua Tawi la Chadema la chuoni hapo

Ni kweli.
Lakini kuna binadamu wengine wakiona mtu ana matatizo ndo wanatumia hayo hayo kuwageuza wenzao minofu!!
 
Na sio kwamba wakitafunwa wanapewa option zote wanazotaka. Aibu sana maana mtu akizoea kutumia njia hiyo lazima aende kuishi mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa chama chetu Tanzania. Sponge ya wakubwa!

Ndahani kitu ambacho watu wanakosea ni kufikiri kua wote wanao ngonoshwa ni wanawake walo stupid! Wapo makundi mbali mbali ya wanawake wanaongonoshwa. Wapo kadhaa hawa wanawake...

Kuna wale ambao upstairs wapo makini; anajua she is intelligent, anajua kua she is capable.... Na anajua kua kuweza achieve her highest goal ambayo inamfanya awe powerful and maybe Rich kuliko ni kupita kitengo fulani. Na akijua kabisa hicho kitengo kukipata hivi hivi hawezi tokana for what ever sababu; na ajua kua akilala na fulani hio nafasi (ambayo ni en route kufika atakako) ni kulala na fulani..... Akilala na huyo mwanaume kweli at the end anapata kile alitaka.... anakuja hata fika mbali kiasi kwamba hata huyo mwanaume akisimulia kwa wenzie yule mwanamke namjua na nilishawahi lala nae watamcheka for wakati huo atakua si level yake tena! Wakati huyo mwanaume hapo nyuma anamgonosha anakua anajisifu kwa uanaume na nafasi yake kupata kipozeo.... bila kujua kua hata yeye anatumika pia..... HOWEVER Ni wanawake wachache wenye wanakua wameitumia kwa njia hii ngono... Mara nyingi ipo kwao ki Dis advantage....
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mwanammke akingonoka anatafuta material things, mwanamme anaitwa kidume.

Wauza unga na mafisadi ni bora mtu anayetumia ngono kupata cheo, anatumia mali yake kwa faida yake.
 
Bwana kufanikiwa katika maisha kila mtu anatricky zake.
Yeye kama hiyo hawezi wengine wanaweza na wala hawajutii.

Survival for the fittest!

Eti bana, kwani shida iko wapi, si fursa? Waangalie kina Wema wanavyohongwa Magari ya gharama. Wengine madisenti wanakula dagaa kila Siku. Hiyo ni moja ya fursa waliyopewa wakina dada, tumieni jamani.
 
Yaani kuna Vidume vinahonga mpaka nyumba kupata ile maneno. Mpaka najiuliza inawezeka Shetani most of the time anakuwa amepiga kambi between women's Legs
 
Bwana kufanikiwa katika maisha kila mtu anatricky zake.
Yeye kama hiyo hawezi wengine wanaweza na wala hawajutii.

Survival for the fittest!

Hili wazo mbona limekaa kama survival of the weakest.
Hivi kweli Kongosho wanawake fit wanahitaji kufikiria option ya kungonoka ili tu kupata wanachokihitaji maishani?
 
Back
Top Bottom