Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo nasikia ni 'besidei' ya Tanzania Mpya,Hiyo namba ya simu ya nani?
Mkubwa nipo kwenye daladala ya tubuyu nishukie kituo gani?Ukimaliza fanya uungwana kwenda kumshukuru1
Nakuja na ndizi na pilipiliNipo siriaz wangu.... madereva wa bajaj mi washkaji, nasafiri kisela... waambie kwa slimTano!
Itakua ya Da mangeHiyo namba ya simu ya nani?
umeadimika kama miguu ya kukuSa mbona mwenyewe haupo serious asee, nikipanda Bajaji nashukia wapi
tuombe ili atupishe pale alipo"" nasio kwamba aendelee kuwapo madarakani""yule bwana tuendelee kumuombea... ile sio roho ya kitanzania
kuna mtu humu kasema kategesha pua yake uelekeo wa pilau la jirani yake, kasema ananusa kila kitu.... naomba na wewe fanya hivo!Au Vyuma vimekaza...maana hata Mimi nashangaa Mpaka sahv Jirani yangu ...Ajaniletea hotpot la pilau wakati Mimi siku za IDD Uwa aizidi SAA 7 kamili sijamletea dishi lake.
afu kweli, ameadimika huyu.... ndoa za siku hz zina mashart makali sana.... ukute hapo na namba kabadilishiwa... Evelyn Saltumeadimika kama miguu ya kuku
Halafu naona kama anafanya sifa maana dah...nasubiri japo hodi lakini wapi.Ukimaliza fanya uungwana kwenda kumshukuru1
kweli mkuu ""afu kweli, ameadimika huyu.... ndoa za siku hz zina mashart makali sana.... ukute hapo na namba kabadilishiwa... Evelyn Salt
Nitapitia hapo maana si mbali. Nipo Nyamala hapa nitakatiza ile shortcut niibuke hapo.Ukitoka kwa jirani karibu pilau ya mbuzi Kwamtogole