Halitete: Ukimya wa wanaJF kutoa Mialiko serious ya Madikodiko ya PASAKA! Nini kimewakuta?

Halitete: Ukimya wa wanaJF kutoa Mialiko serious ya Madikodiko ya PASAKA! Nini kimewakuta?

Hiyo nasikia ni 'besidei' ya Tanzania Mpya,
Yaani 26-4-2018,
Maelezo yaliyoshiba mfuate Mama la mama- Mange.
Huyo mama la mama ndio mamake nani?
 
Au Vyuma vimekaza...maana hata Mimi nashangaa Mpaka sahv Jirani yangu ...Ajaniletea hotpot la pilau wakati Mimi siku za IDD Uwa aizidi SAA 7 kamili sijamletea dishi lake.
kuna mtu humu kasema kategesha pua yake uelekeo wa pilau la jirani yake, kasema ananusa kila kitu.... naomba na wewe fanya hivo!
 
Jaman karibu basi msata kilingeni midaa ya jioni
IMG_20171225_140538.jpg
 
Daah hiyo misosi natamani ingekuwa unaweza kuidaunlodi
 
Kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo...

Hicho ndiyo wanachoogopa watu...

Unaweza ukaalika watu kwa nia njema kabisa...

Lakini na watu wasiojulikana wakajipenyeza humo humo...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom