Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Hallo, nisamehe kwa kukupigia muda huu ila napenda nikuambie, nilikupenda, ninakupenda nitaendelea kukupenda leo na mpaka kesho.
Furaha yangu haijawahi kudumu bila wewe, nakupenda hauko nami ila unaishi MOYONI wangu. Tangu uniache basi sijawahi kufurahi kwa namna ile njema, furaha yangu haidumu
Upo kwenye kila kumbukumbu za mambo mema. Najua wewe una maisha mapya ya ndoto yako, ndio maana hupendi nikutafute, unatamani nikae mbali na wewe ili nisikukoshe AMANI ya moyo wako. Penye moyo wa mtu ndipo ilipo furaha take bado upo moyoni sana
Nimeshindwa kuvumilia moyo umekukumbuka sana nikaona niseme hata haya machache😢