Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Ni nani huyo ulikuwa unambembeleza namna hiyo?Hallo, nisamehe kwa kukupigia muda huu ila napenda nikuambie, nilikupenda, ninakupenda nitaendelea kukupenda leo na mpaka kesho.
Furaha yangu haijawahi kudumu bila wewe, nakupenda hauko nami ila unaishi MOYONI wangu. Tangu uniache basi sijawahi kufurahi kwa namna ile njema, furaha yangu haidumu
Upo kwenye kila kumbukumbu za mambo mema. Najua wewe una maisha mapya ya ndoto yako, ndio maana hupendi nikutafute, unatamani nikae mbali na wewe ili nisikukoshe AMANI ya moyo wako. Penye moyo wa mtu ndipo ilipo furaha take bado upo moyoni sana
Nimeshindwa kuvumilia moyo umekukumbuka sana nikaona niseme hata haya machache😢
Au sio 😂😂Ni nani huyo ulikuwa unambembeleza namna hiyo?
Mtu umshobokee af ajikaushe, inaleta picha gani?
Wahenga walisema 'mpende akupendaye, asiyekupenda achana naye'.
Kabla ya kurusha lawama kwetu subiri uone kama huyu kocha mpya atakubali tununue mechi ili tushinde na kuwachoma sindano/madawa ya kusisimua misuli ya wachezaji wetu ama atakataa hayo mambo kama Gamondi.Hallo, nisamehe kwa kukupigia muda huu ila napenda nikuambie, nilikupenda, ninakupenda nitaendelea kukupenda leo na mpaka kesho.
Furaha yangu haijawahi kudumu bila wewe, nakupenda hauko nami ila unaishi MOYONI wangu. Tangu uniache basi sijawahi kufurahi kwa namna ile njema, furaha yangu haidumu
Upo kwenye kila kumbukumbu za mambo mema. Najua wewe una maisha mapya ya ndoto yako, ndio maana hupendi nikutafute, unatamani nikae mbali na wewe ili nisikukoshe AMANI ya moyo wako. Penye moyo wa mtu ndipo ilipo furaha take bado upo moyoni sana
Nimeshindwa kuvumilia moyo umekukumbuka sana nikaona niseme hata haya machache😢
sasahivi ni "mpende akupendae, asiyekupenda mloge"Ni nani huyo ulikuwa unambembeleza namna hiyo?