Halmashauri kuu Ccm (w) Njombe haijaridhishwa na serikali kuruhusu wanafunzi waliopata mimba kurudi shule. Yaomba uamuzi ubatilishwe.

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Wilaya ya Njombe, haijaridhishwa na uamuzi wa serikali kuwarejesha shule za kawaida baada ya wanafunzi (wazazi) waliopata ujauzito na kujifungua.
Imetoa mapendekezo kwa halmashauri kuu ya CCM mkoa kuiomba serikali kubatilisha uamuzi huo https://t.co/ozvlaxV9Id
IMG_20211215_152150.jpg
 
Hao madiwani hawajui pesa wanazopelekewa za miradi na posho zao zinatoka kwa wale waliomuagiza Samia awarudishe hao watoto shule?
 
Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Wilaya ya Njombe, haijaridhishwa na uamuzi wa serikali kuwarejesha shule za kawaida baada ya wanafunzi (wazazi) waliopata ujauzito na kujifungua.
Imetoa mapendekezo kwa halmashauri kuu ya CCM mkoa kuiomba serikali kubatilisha uamuzi huo https://t.co/ozvlaxV9Id
View attachment 2045043
Mkawambie mabeberu waliowapa pesa zao
 
Wazungu wanawapiginia watoto wenu wapate maarifa ili waweze kupambana na mazingira inayowazunguka lakini nyie ccm hamtaki. Bora wangepekeza Sheria Kali dhidi ya watunga mimba..
Wananchi mabwege ni shida sana, wao hawawazi madhara ya kuwarudisha Shule na kutowaruisha Shule ipi Ina faida.
 
Wachumia tumbo
Utaratibu wa CCM ni hivi jambo likipitishwa juu huku chini ni utekelezaji
Sama CHADEMA mnageuza nyie ndio halmashauri ya Njombe
 
Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Wilaya ya Njombe, haijaridhishwa na uamuzi wa serikali kuwarejesha shule za kawaida baada ya wanafunzi (wazazi) waliopata ujauzito na kujifungua.
Imetoa mapendekezo kwa halmashauri kuu ya CCM mkoa kuiomba serikali kubatilisha uamuzi huo https://t.co/ozvlaxV9Id
View attachment 2045043
Jitoeni ufaham tu kama hamjawekwa kando!!
 
Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Wilaya ya Njombe, haijaridhishwa na uamuzi wa serikali kuwarejesha shule za kawaida baada ya wanafunzi (wazazi) waliopata ujauzito na kujifungua.
Imetoa mapendekezo kwa halmashauri kuu ya CCM mkoa kuiomba serikali kubatilisha uamuzi huo https://t.co/ozvlaxV9Id
View attachment 2045043
CCM kuna viazi hadi vingine havina bei.
 
Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Wilaya ya Njombe, haijaridhishwa na uamuzi wa serikali kuwarejesha shule za kawaida baada ya wanafunzi (wazazi) waliopata ujauzito na kujifungua.
Imetoa mapendekezo kwa halmashauri kuu ya CCM mkoa kuiomba serikali kubatilisha uamuzi huo https://t.co/ozvlaxV9Id
View attachment 2045043
Watarudi watarudi watarudi.
Kama hawajaridhishwa waunde chama Chao kikiongozwa na polepole
Msituletee mawazo ya lile KICHAA LENU
liendazake
 
Back
Top Bottom