CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika leo Jumamosi tarehe 14, Januari , 2023 Ikulu Jijini Dar Es Salaam.
Ndg Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa ni mwenye bashasha ameongoza kikao hicho maalum kitakachotoa dira mpya hasa baada ya mikutano ya hadhara kuruhusiwa ikiwa ni baada ya miaka sita kupita,
Wajumbe wakifuatilia kikao kwa makini,
Wajumbe wakiunga mkono hoja kwa pamoja,
Wajumbe wakifurahia jambo,
Mwenyekiti wa UVCCM Ndg Mohamed Ali Mohammed (Kawaida) akifuatilia kikao kwa makini,