Halmashauri Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wake Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeketi Leo Ikulu Jijini Dar es Salaam

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
5,621
Reaction score
5,029

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika leo Jumamosi tarehe 14, Januari , 2023 Ikulu Jijini Dar Es Salaam.

Ndg Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa ni mwenye bashasha ameongoza kikao hicho maalum kitakachotoa dira mpya hasa baada ya mikutano ya hadhara kuruhusiwa ikiwa ni baada ya miaka sita kupita,


Wajumbe wakifuatilia kikao kwa makini,

Wajumbe wakiunga mkono hoja kwa pamoja,


Wajumbe wakifurahia jambo,


Mwenyekiti wa UVCCM Ndg Mohamed Ali Mohammed (Kawaida) akifuatilia kikao kwa makini,
 
Nothing New.....Same Whine in a New Bottle!

Mambuz at Work!
 
Huwa nasema kila siku, Chama ni CCM tu,

Ona walivyopendeza,
Ona walivyokaa kwa adabu,
Ona wanavyosikiliza,

Ukitaka kuamini haya nayoyasema nenda kule Ufipani ukajionee vurugu za mavazi na mikao kwenye kikao
 
Huwa nasema kila siku, Chama ni CCM tu,

Ona walivyopendeza,
Ona walivyokaa kwa adabu,
Ona wanavyosikiliza,

Ukitaka kuamini haya nayoyasema nenda kule Ufipani ukajionee vurugu za mavazi na mikao kwenye kikao
Duuh
 
Naipenda CCM Mpaka naumwa
 
Hili ni jambo jema haya ni maandalizi ya kufanya siasa za kistaarabu kama alivyoagiza Rais Samia Suluhu
 
..vikao vya chama havipaswi kufanyika Ikulu, na kutumia rasilimali za serikali.
 
Hapo wenyewe wanajiona Exceptional wameishikilia nchi kiganjani! Kwenye uhalisia hamna la maana linalofanyika.
 
Humu kamati kuu naingiaje? Humo Kuna hela za tozo wanazolipa wajinga wajinga na za Ile mikopo tunayochukua china na imf!

Nipeni dili wajamen niingie kamati kuu maana kadi ya smart ya CCM ninayo!

Kiukweli mi sipendi sana chama napenda niingie nipigie hela tu.

Mi nampenda mama yangu tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…