Halmashauri Kuu ya CCM yampitisha Rais Samia Suluhu kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Chama hicho

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa hii ni kwa Mujibu wa EATV , bado haijajulikana kama kwenye Mkutano Mkuu nako atapitishwa au vinginevyo .

Bali kinachofahamika ni kwamba kupitishwa kwake kuwania nafasi hii ni hatua muhimu kuelekea kuchukua kiti hicho
 
Mbona atapita bila kupingwa
 
Jina lenyewe moja. Wakipiga kura zinakusanywa kwenda kutupwa dustbin then matokeo yanarudi kuwa Mama kapitishwa kwa 100%

Huu ni uendawazimu na wala hakuna haja watu kusafiri kutoka wanakotoka kukutana Dodoma kwenda kupewa matokeo kutoka kwenye briefcase
 
Taarifa hii ni kwa Mujibu wa EATV , bado haijajulikana kama kwenye Mkutano Mkuu nako atapitishwa au vinginevyo .

Bali kinachofahamika ni kwamba kupitishwa kwake kuwania nafasi hii ni hatua muhimu kuelekea kuchukua kiti hicho
Tajiri, upande huu unafanya reporting kwa mkopo au ndio unahamia?!?
 
Unaandika kama ripota wa ccm unaipenda sana ccm ila hujielewi kuwa kabisa maana tangu uzaliwe hujawahi kuwa na mwenyekiti mpya ni mbowe tu
bado haijafahamika kama unalia au unalalamika
 
..huo mkutano una ulazima gani wakati mgombea mwenyewe ni mmoja na inajulikana atashinda kwa 90% au zaidi?

..teknolojia ya mawasiliano iko so advanced wajumbe wangeweza kumpitisha Mama Samia kwa kutumia tehama.

..ingekuwa busara kama fedha za mkutano mkuu zingeelekezwa kwenye miradi ya maendeleo.
 
Sasa ikiwa hivyo wale wanaoitwa wasanii watapatia wapi uchawa ?
 
...ingekuwa busara kama fedha za mkutano mkuu zingeelekezwa kwenye miradi ya maendeleo.
Wangefanya zoezi hilo virtually, Mama angepigwa chini saa mbili asubuhi kwa kuwa 1) deep down wanachama wengi hawamkubali na 2) wangepiga kura za hasira kwa kutemeshwa donge la perdiem

So, huu uzwazwa unaendelezwa na wenyewe wanasema ndio demokrasia
 
..tiss-ccm wanaweza kufanya-fanya ili zipatikane kura za kutosha na zoezi likakamilika vizuri.
 
Taarifa hii ni kwa Mujibu wa EATV , bado haijajulikana kama kwenye Mkutano Mkuu nako atapitishwa au vinginevyo .

Bali kinachofahamika ni kwamba kupitishwa kwake kuwania nafasi hii ni hatua muhimu kuelekea kuchukua kiti hicho
Ashakuwa mwenyekiti wa CCM tangu siku alipotangaza msiba wa Dr Magufuli.
 
Back
Top Bottom