Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mbona atapita bila kupingwaTaarifa hii ni kwa Mujibu wa EATV , bado haijajulikana kama kwenye Mkutano Mkuu nako atapitishwa au vinginevyo .
Bali kinachofahamika ni kwamba kupitishwa kwake kuwania nafasi hii ni hatua muhimu kuelekea kuchukua kiti hicho
Ili uwanja uwe sawa ,wagombea wako wangapi?Unaandika kama ripota wa ccm unaipenda sana ccm ila hujielewi kuwa kabisa maana tangu uzaliwe hujawahi kuwa na mwenyekiti mpya ni mbowe tu
Na chama dola kikichoharibu nchi kwa miaka zaidi ya 60 mkuu hujaliona hili?Unaandika kama ripota wa ccm unaipenda sana ccm ila hujielewi kuwa kabisa maana tangu uzaliwe hujawahi kuwa na mwenyekiti mpya ni mbowe tu
Tajiri, upande huu unafanya reporting kwa mkopo au ndio unahamia?!?Taarifa hii ni kwa Mujibu wa EATV , bado haijajulikana kama kwenye Mkutano Mkuu nako atapitishwa au vinginevyo .
Bali kinachofahamika ni kwamba kupitishwa kwake kuwania nafasi hii ni hatua muhimu kuelekea kuchukua kiti hicho
Mimi ni ripota wa JFTajiri, upande huu unafanya reporting kwa mkopo au ndio unahamia?!?
bado haijafahamika kama unalia au unalalamikaUnaandika kama ripota wa ccm unaipenda sana ccm ila hujielewi kuwa kabisa maana tangu uzaliwe hujawahi kuwa na mwenyekiti mpya ni mbowe tu
Sasa ikiwa hivyo wale wanaoitwa wasanii watapatia wapi uchawa ?..huo mkutano una ulazima gani wakati mgombea mwenyewe ni mmoja na inajulikana atashinda kwa 90% au zaidi?
..teknolojia ya mawasiliano iko so advanced wajumbe wangeweza kumpitisha Mama Samia kwa kutumia tehama.
..ingekuwa busara kama fedha za mkutano mkuu zingeelekezwa kwenye miradi ya maendeleo.
Sasa kilichomkuta ulikiona ?Sumaye alishawai kuwa mgombea pekee kipindi akiwa kundi la Nyumbu.
Wangefanya zoezi hilo virtually, Mama angepigwa chini saa mbili asubuhi kwa kuwa 1) deep down wanachama wengi hawamkubali na 2) wangepiga kura za hasira kwa kutemeshwa donge la perdiem...ingekuwa busara kama fedha za mkutano mkuu zingeelekezwa kwenye miradi ya maendeleo.
Wangefanya zoezi hilo virtually, Mama angepigwa chini saa mbili asubuhi kwa kuwa 1) deep down wanachama wengi hawamkubali na 2) wangepiga kura za hasira kwa kutemeshwa donge la perdiem
So, huu uzwazwa unaendelezwa na wenyewe wanasema ndio demokrasia
Ashakuwa mwenyekiti wa CCM tangu siku alipotangaza msiba wa Dr Magufuli.Taarifa hii ni kwa Mujibu wa EATV , bado haijajulikana kama kwenye Mkutano Mkuu nako atapitishwa au vinginevyo .
Bali kinachofahamika ni kwamba kupitishwa kwake kuwania nafasi hii ni hatua muhimu kuelekea kuchukua kiti hicho
sasa huku kwingine wanatafuta nini ?Ashakuwa mwenyekiti wa CCM tangu siku alipotangaza msiba wa Dr Magufuli.